magufuli hana kituchochote kabebwa na kikwete ulishaona lini mkapa, mwinyi au nyerere anapigia mtu debe sasa ndo ya kikwete hayo. magufuli mwenyewe hajui kuongea, kwenye kampeni utaona ni krambasi
Wacha nimpe huyo anayebebwa na unachokiita system kuliko huyu anayebebwa na shetani. Kama hilo ndilo lilikuwa lengo la M4C, basi katika jina la Yesu na lishindwe kabisa.Jiulize kwanza, kwa nnii ulijiunga na cdm? Kama uliamini katika M4C, then umepotea maana change haiwezi kuja kwa kumchagua Magufuli. Huyu ni mtu alnayebebwa na system na system hiyo ndiyo tunataka kuibadili; hivyo kumpigia magufuli ni kuiimarisha hiyo system; then imani yako ya M4C will never come true (Haitaimia kamwe)
magufuli hana kituchochote kabebwa na kikwete ulishaona lini mkapa, mwinyi au nyerere anapigia mtu debe sasa ndo ya kikwete hayo. magufuli mwenyewe hajui kuongea, kwenye kampeni utaona ni krambasi
Kama ulikuwa hujui subiri kuumbuka na ushabiki wako katika siasa za bongo.
Wale waislamu wa zanzibar walioko jera na kesi ya kubambikizwa wewe kama muislam wa ccm unaweza toa ufafanuzi kwa nini ccm zanzibar wamewaonea hao mashehe au wewe ni ccm fata upepo.
Swissme
Ndoroooooooooooooooooooooobo nyie CCM, mmetunyonya vya kutosha
Ni uwehu kufikiria ukawa kushinda haingii akilini.ccm wataonyesha maajabu mwaka huu