Naomba mnisaidie ndugu mamna ya kuitambua simu original TCNO P3.
.
Kwann useme hivi?
.
Kwa mfano mimi nikitengeneza simu alafu nikaiita C++ smartphone ......
Itakuwa ni original
.
Ila nikitengeneza simu then nikaiita NOKIA hiyo itakuwa ni fake bwana joe
.
Anayejua ufake wa kitu ni mtengenezaji wa hicho kitu ,anaweza kuamua original yake ndo iwe hivyo huwezi kusema ni fake wakati yeye ndo kaamua model yake iwe hivyo hata kama haikufurahishi
Nimepapenda hapo, kumbe bidhaa yeyote ambayo haijakopiwa (bila kujali ni duni au original) ni original. Sababu imetoka moja kwa moja kwa mbunifu.!!Kina vitu kiujumla vinatuchanganya na kuleta sintofahamu hii, kuna>
Simu fake
Simu duni na
Simu orijino
Simu fake ni kutengeneza simu kwa kutumia jina la mwenzako wakati kiuhalisia sio,na kwa kiwango duni
Mfano S4 clone nk nk
Simu duni ni simu ambazo zinatengenezwa kwa kiwango duni kisichokidhi viwango vya kimataifa, most oft IME zao hazitambuliki
Mfano Tecno na mataka taka kibao yaliojaa kariakoo
Simu Original ni simu iliotengenezwa na wahusika walio buni bidhaa hiyo
Sasa hapa utaona wakati mwingine simu inaweza ikawa duni lakini ikawa original kwa maana ya kwamba imetengenezwa na wahusika walio ibuni mfano Tecno
Usiniguse!! faking some thing is simply an act of imitating what is existing, so fake its jus come into existence after existence of sm thing! fake haina maana kua haimfurahishi mtu, hapana, fake inaweza ikawa nzuri kwa mtu mwingine zaidi ya Original! Issue ni kwamba si kile kilichovumbuliwa, bali ni kivuli chake hata kama mtengenezaji ni yule yule! Na na sifa tofauti zenye viwango duni ndio huitambulisha, hii inatokana na mahitaji ya bidhaa hiyo kwa watu wasio na uchumi mzuri! Ndio hayo tuu.

tecno ni mchina. sio "orijino"
Hivi neno original maana yake unafahamu sawasawa?
Is it true kuwa kila kinachotengenezwa china si original?
the term original as i used: meant, same quality and quanty as mentioned or advertised. eg: simu itangazwe ina vitu flan ambavyo ndivyo unavyoviona au utakapofanya majaribio utaona ndio vilevile walivyodai wameviweka
mchina: (not reffering to the origin of the product, but kwa kuwa china ndio wamebobea kuexport) sub starndard ama counterfeit products. sub starndard ni product ambazo hazifikii viwango vya ubora uliowekwa na mamlaka husika(eg tbs) au hazina ubora ambao uliotangazwa kuwa zinao. mfano waseme simu ina uzito wa gram 60 ila ilipopimwa ikakutwa ina zaidi au pungufu n.k
lakini counterfeit ni alphonce ku imitate bidhaa ya joe katika ubora wako either wa chini au wa juu na kuweka label kuwa ni original product ya joe... hii inaishia kumislead watu wanunue bidhaa yako wakidhani ni ya joe. eg zile simu ina label ya nokia na externally zinafafanana ndani zisifanane kabisaaaa
Well explained, sasa back to tecno, wao ni registered company kama yecno, bidhaa wanazotengeza ni za tecno, wanatangaza specs za bidhaa zao kama zilivyo bila kidanganya hali halisi. Sasa napata tabu kwa nini tuseme bidhaa zao si original?
Kwa sababu kampuni iko china?
Kuna bidhaa kama hizo kwa jina hilo hilo zimeshawahi kutengenezwa na kampuni nyingine ambayo ndio original?
unapokuwa mtaalamu na ukamshauri mtu anunue simu kama hii kupunguza gharama nakuwa napata hofu kidogo
Tecno ni kampuni registered? Where?Well explained, sasa back to tecno, wao ni registered company kama yecno, bidhaa wanazotengeza ni za tecno, wanatangaza specs za bidhaa zao kama zilivyo bila kidanganya hali halisi. Sasa napata tabu kwa nini tuseme bidhaa zao si original?
Kwa sababu kampuni iko china?
Kuna bidhaa kama hizo kwa jina hilo hilo zimeshawahi kutengenezwa na kampuni nyingine ambayo ndio original?
Hivi neno original maana yake unafahamu sawasawa?
Is it true kuwa kila kinachotengenezwa china si original?
Dell computers,compaq etc zote ni za china na ni original inakuaje tecno zote ziwe fake???? Basi kila kitokacho china ni fake
izo viwanda vinawekwa china coz cheap labor. lakini wana assemble kwao. angalia product za apple utaona made in china assembled in california. na izo kampuni ziko registered us. au uk
Dell computers,compaq etc zote ni za china na ni original inakuaje tecno zote ziwe fake???? Basi kila kitokacho china ni fake