Tatizo la mtoa mada anataka Tecno iliyo kama Samng Galaxy Original. Tecno ni tecno tu, haina orginal wala feki, ukiona unamashaka nayo au inasuasua basi hiyo ndiyo tecno, haiwezi fanya kazi k
.
Kwann useme hivi?
.
Kwa mfano mimi nikitengeneza simu alafu nikaiita C++ smartphone ......
Itakuwa ni original
.
Ila nikitengeneza simu then nikaiita NOKIA hiyo itakuwa ni fake bwana joe
.
.
Kwann useme hivi?
.
Kwa mfano mimi nikitengeneza simu alafu nikaiita C++ smartphone ......
Itakuwa ni original
.
Ila nikitengeneza simu then nikaiita NOKIA hiyo itakuwa ni fake bwana joe
.
ukiita c++ ila ikafanana na nokia in any way (hardware au software) kwa lengo la kumpumbaza mnunuaji ujue iyo ni feki
hata kitu kikiwa sub standard nacho ni feki. we hujiulizi kwanini tecno yenye specs kubwa ambazo ni equivalent na simu nyingine kama samsung au zingine ila utaona bei yake ni ya chini mnoooo kulinganisha na wengine. wao wanapata wapi malighafi?
uwa husikii apple wamesue samsung kwa kuiga design, na kesi kama izo. tecno hawana hata kiwanda cha simu.