Bernie Fikiri JF-Expert Member Aug 20, 2015 288 197 Jan 30, 2016 #5 Ilikuwa na majina & meseji za michepuko yake
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,265 69,512 Jan 31, 2016 #8 ha ha ha... nani akae marehemu anataka simu yake..
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Jan 31, 2016 #9 Alihofia kumsababishia kifo kwa atayoyakuta na wakikutana huko (kuzim) hapatotosha