Sawa mkuu kwa maoni yako, AhsanteKuna haki za msingi mtazikosa kijamii na kisheria....kwa mfano kama ni waajiriwa ama mmoja wenu ni mwajiriwa anaweza kukosa haki ya kuunganishwa kwenye bima ya afya ya mwenza kwakukosa cheti cha ndoa
Kikitokea kibaya kwa binti kijana una la kujieleza kwao nknk
Ahsante mkuuHaipendezi..ni vyema mkafuata taratibu na kupata baraka za wazazi.
Hayaa🙆🏾♂️, umeamua uende kwenye maandiko kabisaHaipendezi Kimungu na kibinadamu. Nendeni mkatambulishane then ndio muibane itapendeza kibinadamu ila kimungu. ... Nikukumbushe kuwa wazinzi na waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu.
Hahaha, naona umetoa ushauri wa kibahariaSawa tuu wala hamna shida kama tayari mnagegedana sii bora tuu muishi pamoja.
Ila kama hamgegedani basi vyema kila mtu akae kwake
Sasa dhumunibla kuoa ni watu wagegedane na kuzaliana.Hahaha, naona umetoa ushauri wa kibaharia
Kwa hiyo tuendelee kuishi kama kawaida tu, Hahaha'kuoana' wameleta wazungu na waarabu,
Adam na Hawa waliishije ?
Sawa chiefSasa dhumunibla kuoa ni watu wagegedane na kuzaliana.
Nyie kama tayari mnagegedana ndio tayari muishi pamoja tuu
Mbona povu linakutoka?Nadhani jibu unalijua .sijui unataka kitu gani kingine.
Labda ungeuliza hivi vipi msichana akifa ghafla humo ghetoni jamaa atafanyeje.au chukulia huyo kijana wa kiume afe ghafla atafanyeje huyo binti.
ukiacha tuu kwamba ni dhambi ila trust me ndoa zinazoanzaga kwa kihivyo ni ushenzi mtupu.Hasa msichana ndiyo anayeonekana zero brain zaidi.huwi na heshima hata kidogo.
kama wamependana si wakamilishe process zilizozoeleka .
Hapo wanafanya uzinzi mtupu na hawana akili "Aziniye na mwanamke hana akili kabisa anafanya kitu kitakacho angamiza nafsi yake"
Na wewe ni mmoja wapo nini?Mbona povu linakutoka?
Wakuu habari za wakati huu.
Naomba maoni yenu juu ya hili swala.
Je?,Kuna tatizo lolote Kuishi pamoja kijana wa kiume na wa kike, yaani nazungumzia kuishi kama wanandoa ingawa bado hamjaoana lakini, malengo ya kuoana yapo kati yenu wawili.
NB;Nyumbani kwa kijana wa kiume hawajui kama mtoto wao anaishi na msichana, halikadhalka kwa kijana wa kike hawajui kama mtoto wao anaishi na mvulana.
NdioNa wewe ni mmoja wapo nini?