Kuishi pamoja kabla ya ndoa

Kuishi pamoja kabla ya ndoa

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,710
Reaction score
1,963
Wakuu habari za wakati huu.

Naomba maoni yenu juu ya hili swala.

Je, Kuna tatizo lolote Kuishi pamoja kijana wa kiume na wa kike, yaani nazungumzia kuishi kama wanandoa ingawa bado hamjaoana lakini, malengo ya kuoana yapo kati yenu wawili?

NB; Nyumbani kwa kijana wa kiume hawajui kama mtoto wao anaishi na msichana, halikadhalka kwa kijana wa kike hawajui kama mtoto wao anaishi na mvulana.
 
Kuna haki za msingi mtazikosa kijamii na kisheria....kwa mfano kama ni waajiriwa ama mmoja wenu ni mwajiriwa anaweza kukosa haki ya kuunganishwa kwenye bima ya afya ya mwenza kwakukosa cheti cha ndoa

Kikitokea kibaya kwa binti kijana una la kujieleza kwao nknk
 
Nadhani jibu unalijua .sijui unataka kitu gani kingine.

Labda ungeuliza hivi vipi msichana akifa ghafla humo ghetoni jamaa atafanyeje.au chukulia huyo kijana wa kiume afe ghafla atafanyeje huyo binti.

ukiacha tuu kwamba ni dhambi ila trust me ndoa zinazoanzaga kwa kihivyo ni ushenzi mtupu.Hasa msichana ndiyo anayeonekana zero brain zaidi.huwi na heshima hata kidogo.

kama wamependana si wakamilishe process zilizozoeleka .

Hapo wanafanya uzinzi mtupu na hawana akili "Aziniye na mwanamke hana akili kabisa anafanya kitu kitakacho angamiza nafsi yake"
 
Sawa tuu wala hamna shida kama tayari mnagegedana sii bora tuu muishi pamoja.

Ila kama hamgegedani basi vyema kila mtu akae kwake
 
Kuna haki za msingi mtazikosa kijamii na kisheria....kwa mfano kama ni waajiriwa ama mmoja wenu ni mwajiriwa anaweza kukosa haki ya kuunganishwa kwenye bima ya afya ya mwenza kwakukosa cheti cha ndoa

Kikitokea kibaya kwa binti kijana una la kujieleza kwao nknk
Sawa mkuu kwa maoni yako, Ahsante
 
Haipendezi Kimungu na kibinadamu. Nendeni mkatambulishane then ndio muibane itapendeza kibinadamu ila kimungu. ... Nikukumbushe kuwa wazinzi na waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu.
Hayaa🙆🏾‍♂️, umeamua uende kwenye maandiko kabisa
 
Nadhani jibu unalijua .sijui unataka kitu gani kingine.

Labda ungeuliza hivi vipi msichana akifa ghafla humo ghetoni jamaa atafanyeje.au chukulia huyo kijana wa kiume afe ghafla atafanyeje huyo binti.

ukiacha tuu kwamba ni dhambi ila trust me ndoa zinazoanzaga kwa kihivyo ni ushenzi mtupu.Hasa msichana ndiyo anayeonekana zero brain zaidi.huwi na heshima hata kidogo.

kama wamependana si wakamilishe process zilizozoeleka .

Hapo wanafanya uzinzi mtupu na hawana akili "Aziniye na mwanamke hana akili kabisa anafanya kitu kitakacho angamiza nafsi yake"
Mbona povu linakutoka?
 
Wakuu habari za wakati huu.

Naomba maoni yenu juu ya hili swala.

Je?,Kuna tatizo lolote Kuishi pamoja kijana wa kiume na wa kike, yaani nazungumzia kuishi kama wanandoa ingawa bado hamjaoana lakini, malengo ya kuoana yapo kati yenu wawili.

NB;Nyumbani kwa kijana wa kiume hawajui kama mtoto wao anaishi na msichana, halikadhalka kwa kijana wa kike hawajui kama mtoto wao anaishi na mvulana.

Kwavile wote mpo chuo, mnaweza tu kuishi pamoja ili kupunguza gharama na pia itasaidia mchungane mmoja wenu asije akachepuka. Ila mkishamaliza chuo kila mtu atawanyike akatafute mume/mke.
 
Back
Top Bottom