Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,794 Feb 9, 2014 #21 Ulitafutiwa huyu mke ama ulimpandisha cheo kutoka u maid nyumbani hadi kuwa mke?
A Aquous JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 292 Reaction score 86 Feb 9, 2014 #22 Himidini said: ^^ Hakikisha matokeo ya ulichojifunza ni kujenga si kubomoa ^^ Click to expand... chukua like umebonga point
Himidini said: ^^ Hakikisha matokeo ya ulichojifunza ni kujenga si kubomoa ^^ Click to expand... chukua like umebonga point
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,041 Feb 9, 2014 #23 Qualifier said: jeuri hiyo hana ni maneno ya maudhi tu yanayo pelekea hata wazo la mchezo likae mbali Click to expand... pole sana mkuu , mimi hapa dushe haijadinda mwezi sasa , kisa kupoteza hamu ya kugegeda mapapuchi hayo baada ya kupata mawazo fulani fulani kumuhusu huyu mama ngina wangu..........
Qualifier said: jeuri hiyo hana ni maneno ya maudhi tu yanayo pelekea hata wazo la mchezo likae mbali Click to expand... pole sana mkuu , mimi hapa dushe haijadinda mwezi sasa , kisa kupoteza hamu ya kugegeda mapapuchi hayo baada ya kupata mawazo fulani fulani kumuhusu huyu mama ngina wangu..........
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Feb 9, 2014 #24 dagii said: Mimi Mwezi wa 3 sasa na kanyumba ndogo ilianza kuzingua nikamtafutia mwenzie sahv naulizwa umeoga,umekulaa,naitwa beby .kaka tembea muache na kisiranichake utaniambia. Click to expand... Ushauri gani sasa huu??Epuka michepuko,kaa njia kuu Unafikiri ndoa ni adventure? zipo changamoto nyingi na suluhisho sio nyumba ndogo,kaa uongee na mama ngina atakuelewa tuu.
dagii said: Mimi Mwezi wa 3 sasa na kanyumba ndogo ilianza kuzingua nikamtafutia mwenzie sahv naulizwa umeoga,umekulaa,naitwa beby .kaka tembea muache na kisiranichake utaniambia. Click to expand... Ushauri gani sasa huu??Epuka michepuko,kaa njia kuu Unafikiri ndoa ni adventure? zipo changamoto nyingi na suluhisho sio nyumba ndogo,kaa uongee na mama ngina atakuelewa tuu.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Feb 9, 2014 #25 Ongea na mkeo sio kuja kutuambia huku. Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk