mmh...huyu mama ngina!!!!!
ameanza tabia gani mbaya? au alikataa kukupa tam jana usiku?
Pole mkuu, unawezekana hata usiku hujalala, ni tabia gani ameanzisha mama ngina?
ngoja niweke siri alichonikwaza kama alivyo niusia babu yangu siku wananiozesha alisema nisitoe siri za ndani lakini nimekwazika si kido nikweli sijalala na sasa sijatoka hata nje nisije nikachekewa chekewa na bimdada wa kitaa nikafanya kweli, endeleeni kunifariji nikiwa humuhumu ndani kwangu labda msongo utapungua ikishindika nanyanyuka nikafie mbele
DEMBA huwa namsifia sema tu hujabahatika kuona umeshauri vizuri lakini maudhi mengine ndo yanayo pelekea mtu na aseme "let come what may" ninahisi nimezidi upolemmmh
siku akifanya jambo jema huji kumpongeza humu, ila akikosea ndio waja
kumnanga sio vizuri hivo. halaf mnapoambiwaga for better or for worse
maana yake ndio hiyo. sio kila siku itakuwa tamu tu bali kuna siku huwa
chungu.
kuhusu nyumba ndogo sio suluhisho bali ndio mwanzo wa kuipeleka ndoa
yako kuzimu.
Mimi Mwezi wa 3 sasa na kanyumba ndogo ilianza kuzingua nikamtafutia mwenzie sahv naulizwa umeoga,umekulaa,naitwa beby .kaka tembea muache na kisiranichake utaniambia.
nimeshafungua kabati langu languo nimevaa suti nzuri nimechukua kadi yangu ya bank et anaanza kuni uliza we baba Ngina ndo kusema umekasirika ? Sasa unaenda wapi? Kumbe nayo inasaidia!!
Leo jumapili toka nae mkirudi kisirani kitakua kimeisha na akiwa amekasirika mnunulie zawadi ndoogo kama chocolate, ice cream au apples
mhh si atajiona ng'ombe katka kundi la mbuzi kila siku ataleta ukorofi kusudi anunuliwe choclate leo hanioni mpaka saa 4 usiku