Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,483
- 40,501
Hatuna namna tunaweza kujizuia kukwepa kifo hata iweje..Nini kifanyike ili tuweze kuishi miaka 100 au na zaidi?
Wengi wetu tumekuwa tukiishi miaka 30,40,50,60 n.k au pungufu ya hapo na kufa.
Je ni halali kufa mapema?Nini kifanyike sasa?
Tunawezaje kulifanikisha hilo?Kuishi bila misongo ya mawazo
Ni kweli mkuu,ila juhudi binafsi ni muhimu zaidiHatuna namna tunaweza kujizuia kukwepa kifo hata iweje..
kikubwa Ni kuomba tu neema ya Mungu atujaalie maisha marefu,,tuishi tuzae matunda,tujitenge mbali na uovu kwa kutenda yaliyo mema
Pia kujali afya Ni muhimu,,,kutengeneza mazingira rafiki kwa afya zetu.. kujiepusha na mazingira rafiki yatakayosababisha magonjwa mbalimbali
All in all maisha yetu yapo mikononi mwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
kama zipi mkuu?Ni kutii tuu na kufuata amri za Mungu.
................Nadhani hili ndo sahihi,kwa walioamini tuishi kwa kumuheshimu Mungu na kumtukuza ikiwa ni pamoja na kutenda mema na kuziishi amri zake coz itakufaa nini uishi miaka mia huku hujui hatma ya nafsi yako siku macho ukiyafunga kwenda kule kusikojulikana ambako hutarudi tena?Hatuna namna tunaweza kujizuia kukwepa kifo hata iweje..
kikubwa Ni kuomba tu neema ya Mungu atujaalie maisha marefu,,tuishi tuzae matunda,tujitenge mbali na uovu kwa kutenda yaliyo mema
Pia kujali afya Ni muhimu,,,kutengeneza mazingira rafiki kwa afya zetu.. kujiepusha na mazingira rafiki yatakayosababisha magonjwa mbalimbali
All in all maisha yetu yapo mikononi mwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
1.usiwe na miungu mingine isipokuwa yeyekama zipi mkuu?
Nimezishika zote hizo tangu nikiwa mdogo,nadhani nitakuwa nimefudhu ili niweze kuishi miaka mingi.Vipi kuhusu ulaji au ufanyaji kazi,hauwezi kuathiri muda wa kuishi?1.usiwe na miungu mingine isipokuwa yeye
2.ikumbuke siku ya Bwana uitakase,siku sita fanya kazi
3.waheshimu baba na mama yako upate heri duniani
4.usiue
5.usiibe
6.usizini
7.usimshuhudie jirani yako uongo
8.usitamani mali ya jirani yako
9.usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu
10.usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
Mkuu unauliza amri zipi?kama zipi mkuu?
kauze mali zako zote na uwagaie masikini.......Nimezishika zote hizo tangu nikiwa mdogo,nadhani nitakuwa nimefudhu ili niweze kuishi miaka mingi.Vipi kuhusu ulaji au ufanyaji kazi,hauwezi kuathiri muda wa kuishi?
ha ha ha ha ha ha ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindanokauze mali zako zote na uwagaie masikini.......
ndipo utaishi miaka mingi...
1.usiwe na miungu mingine isipokuwa yeye
2.ikumbuke siku ya Bwana uitakase,siku sita fanya kazi
3.waheshimu baba na mama yako upate heri duniani
4.usiue
5.usiibe
6.usizini
7.usimshuhudie jirani yako uongo
8.usitamani mali ya jirani yako
9.usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu
10.usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
Ndipo Yule member wa jf alipolisikia neno lile, akaenda zake kwa huzuni; kwa sababu alikuwa na mali nyingi...........ha ha ha ha ha ha ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Nakuona fundi wangu umeshaanza utume rasmi!!! Ngoja me nipande kitandani...tutaonana kesho (misa ya kwanza).1.usiwe na miungu mingine isipokuwa yeye
2.ikumbuke siku ya Bwana uitakase,siku sita fanya kazi
3.waheshimu baba na mama yako upate heri duniani
4.usiue
5.usiibe
6.usizini
7.usimshuhudie jirani yako uongo
8.usitamani mali ya jirani yako
9.usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu
10.usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
Hizo zote nimezishika tangu nikiwa mdogo,je nitafika miaka 100?Mkuu unauliza amri zipi?
*Amri ya nne:WAHESHIMU BABA NA MAMA UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI.
Kiimani amri hii kama hukuitekeleza kulingana na malalamiko ya wazazi wako Mungu atakutenganisha nao mapema ili wasiendelee kuumia kwa utovu wako wa nidhamu.
*Amri ya tano:USIUWE
Hakuna asiyejua madhara ya dhambi hii ktk dunia hii tunayoishi,hukunyongwa utafungwa maisha gerezani hujafa kwa maradhi stress zitakuuwa,hapa tunaona jinsi hii amri inavyo-deal na wewe moja kwa moja.
*Amri ya sita na tisa:USIZINI
Ukizini utakumbana na maradhi kama HIV Gonorrhea mengine ongeza yatakuuwa same na hizo amri hapo juu adhabu inakufika moja kwa moja ukiziona kwa macho yako.
*Amri ya saba na ya kumi:USIIBE/USITAMANI MALI YA JIRANI YAKO
Kama unaishi kwenye hii miji iliyojaa vurugu utakuwa umeshuhudia vijana aged 18/28 wakipigwa na wananchi wenye hasira kali,madhara ya kutokuzitii amri za Mungu hayo.
Nimejaribu kuorodhesha zile dhambi ambazo tukizitenda huwa kwa vyovyote vile lazima tuone ziki-take action kwenye maisha yetu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ha ha ha ha ha...kwani huyo masikini ndio hataki kuishi miaka mingi?Yule member wa jf alipolisikia neno lile, akaenda zake kwa huzuni; kwa sababu alikuwa na mali nyingi...........
Mkuu usisahau na fungu la 10;ili kuongeza miaka ya kuishi.Nakuona fundi wangu umeshaanza utume rasmi!!! Ngoja me nipande kitandani...tutaonana kesho (misa ya kwanza).
Good nyt kamdori...bye.
Sent using Jamii Forums mobile app
kati ya masikini na tajiri yupi anakesha Kufunga na kuomba siku ya ile ya kuja Kristo ije haraka ?....Ha ha ha ha ha...kwani huyo masikini ndio hataki kuishi miaka mingi?