Kuisha Kwa Hisia Sio Mwisho wa Mapenzi

LOL ilisema nani - Geoffrey Mmari?

Hapana...ilikuwa inaniambia eti nirekebishe. Jina sahihi ni Mathew Luhanga lol. Mijitu mipumbavu kweli ile. Hata haijui kuwa kuna balozi Nicholas Kuhanga (ambaye ndiye VC wa mwisho ambaye hakuwa academician) na Prof. Mathew Luhanga.

Nadhani Kuhanga na Luhanga ndiyo iliwachanganya.
 
Nadhani huyo ndiye VC aliyekaa (au miongoni mwa waliokaa) muda mrefu sana mpaka lile eneo likawa linaitwa kwa Kuhanga, si unakumbuka kulikuwa na mbwa kibao mpaka kukatiza kwenda kula yale machungwa ilikuwa inabidi utafakari mara mbili mbili (michungwa nadhani haipo tena) !

Previous Vice Chancellors

Name Position YEAR
Mr. Cranford Pratt Principal 1961 -1965
Dr. W.K. Chagula Principal 1965 -1970
Mr. Pius Msekwa Vice Chancellor 1970 -1977
Mr. Ibrahim Kaduma Vice Chancellor 1977 -1980
Mr. Nicholas Kuhanga

Vice Chancellor 1980 - 1988
Prof. G.R. V. Mmari Vice Chancellor 1988 - 1991
Prof. Matthew Luhanga
Vice Chancellor 1991 - 2006
Prof. Rwekaza S. Mukandala Vice Chancellor 2006 – to date

Matthew Luhanga ndiye aliyekuwa VC kwa muda mrefu zaidi kuliko wote (15 yrs).

Lakini balozi Kuhanga ndiye aliyekuwa VC almost throughout the 80s decade.
 
sina uhakika sana na wengine, kwa upande wangu hisia za kimapenzi huwa haziko continuous..... kuna kipindi naona kabisa bila huyu, there is no me.............. na kuna kipindi najiuliza hivi ilikuwaje nikawa na huyu ndugu? sasa tukianza kuzungumzia kila hisia zinapopotea ubwage manyanga sijui mtu utayamwaga manyanga mangapi. maana nadhani utayamwaga haya baada ya muda utayaokota mengine na hisia zikikimbia unayamwaga nk nk.
na zaidi ya hayo nadhani kuna umri unafika unaona kabisa hapa huwezi kukimbizana tena, na ndo maana utakuta watu wazima wengi wapo kwenye ndoa ambayo hakuna kabisa mapenzi ila wanaishi kwa mazoea tu.

kweli mama
 
hapa umenena kuna wataalamu husema hisia za mapenzi huja na kutoweka uonapo hali kama hii zidisha upendo kwa mwenza wako na kumfanyia vitu vya kufurahisha hapo hisia zitaanza kumrudia
 
Ndoa nyingi au mahusiano yanajengwa na kuvumiliana
Ukianza kufata hisia leo utaachana na Companero ,hisia zikiisha unaingia kwa NN ..zikipotea unaelekea kwa invisible mwisho wa siku unaanza kutapatapa
 
Sijui ni kwanini watu huwa wanaanza kusema...Ohooo sijui sina hisia na wewe mara nini...sasa ukikutana na mwingine tena naye utaanza kusema huna hisia..sema watu hawapendi kujifunza uvumilivu..wanaanza kusingizia hisia
 
Back
Top Bottom