Kuipata iphone iliyoibiwa

Premij canoon

JF-Expert Member
May 27, 2018
1,114
2,489
Salaaam, poleni na swaumu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.. Naomba kufahamishwa namna yakuipata simu ya IPHONE iliyoibiwa, mbinu zitumikazo kujua simu ilipo hadi kuipata.

Natanguliza shukran
 
mkuu apple nyingi zinapotea mazima kwa sababu ni simu zinazowashindwa wezi.

yaani ikiishatoka mikononi mwako,utaifunga itaishia kuuzwa spare tu,wakati kwa android wajinga wanaiflash kisha wanaweka line wanaanza kuitumia, android ukiamua kuitrack polisi utaona line ya mwisho kusoma na iliyopo.

ila apple utaiona line yako ndio ya mwisho,kwa hiyo zoezi linaisha kabla halijaanza.na huu ndio ujinga mwingine wa apple,data ziko safe zaidi ila sio kifaa chako cha hela nyingi.
 
Ahsante sana mkuu... Sasa nimeelewa
 
Sio kwamba inategemea na settings zako mkuu?
 
ni setting pia hata.

huwa nashangaa kwanini watu huwa wanakimbilia kuifunga wakati kuna option ya kurestore,unarestore tu halafu mtu arogwe aweke line yake unamshika.

maana imei unayo.
 
with all due respect can you explain the HOW!?

Sent using SMART KITOCHI
iko hivi,

unapofungua icloud, na kuruhusu find my phone wakati simu bado iko kwenye himaya yako,unakuwa umeipa control tatu endapo itapotea.

1,iwe inalia alarm tu,ili umshike mwizi kam yuko around.
2,uiformat kila kitu huko iliko.
3,uifunge tu idai apple id kama kawaida.

hapo namba mbili ndipo nilipokuwa nazungumzia mimi mwanzo,maana ukifuta kila kitu itaomba password huko kwako halafu apple wataridhika kwamba ni wewe umeamua,simu itawaka kama mpya.
uzuri ni kwamba apple hazibadilishiki Imei NO,so utaanza kufuatilia hapo kama inavyokuwa kwa android.sijui umenipata????
 
shukrani sana mkuu, umeniondoshea ujinga.

Sent using SMART KITOCHI
 
Back
Top Bottom