Kuiondoa CCM madarakani ni jambo rahisi sana

Huku kuamini kuwa ccm hawana mtaji wa kura wa kuwafanya kushinda hivyo ushindi wao huwa ni wa wizi na kwamba upinzani ndio wana mtaji mkubwa wa kura na huwa siku zote wanashinda ila kikwazo ni serikali ya ccm, mimi nafikiri mtazamo huu unahitaji mjadala.
 
kipanga folen huku mtaaa wanapangaga wakina mama na wazee vijana tunakuwa pes😆😃
 
anzisha mjadala upigwe ban

Unachosema ni kweli, sasa hao akina mama na wazee ndio kweli ni mtaji wa upinzani ambao unaipigia kura upinzani? Ndio maana nasema kuna hitaji mjadala.
 
Nashangaaga mtu akisema CCM kutoka madarakani haiwezekani.

Watu tusikae kwa kukariri serikali Ikiweza kusambaza civil Education kwa Jamii nzima basi CCM bye bye.

Sisi vijana ambao tunaipenda Chadema kinachotuharibia nikutokupiga kura.

My advice: Chadema naomba muwasistize vijana kupiga kura, pia hakikisheni uwepo wa independent committee baada ya hapo tuje tuone CCM wanaendeleaje kukaa kwenye power.

Tanzania bila CCM inawezekana. CCM ni chama cha watu wavijijini na watafuta Fursa.

Chadema ni chama cha vijana wasomi na watu wanaojitambua; sitegemei kijana From 18-28 akaichagua CCM na ndo idadi kubwa yawapiga kura wote.

See you again CCM
Bila tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya, CCM itatawala milele. Kwa sababu, kwa mazingira ya sasa hata wapiga kura wote wasipochagua CCM, CCM itatangazwa mshindi tu. Rejea uchaguzi wa serikali za mitaa. Ninatabiri haya yatajirudia hata kewnye uchaguzi mkuu ujao.
 
Nashangaaga mtu akisema CCM kutoka madarakani haiwezekani.

Watu tusikae kwa kukariri serikali Ikiweza kusambaza civil Education kwa Jamii nzima basi CCM bye bye.

Sisi vijana ambao tunaipenda Chadema kinachotuharibia nikutokupiga kura.

My advice: Chadema naomba muwasistize vijana kupiga kura, pia hakikisheni uwepo wa independent committee baada ya hapo tuje tuone CCM wanaendeleaje kukaa kwenye power.

Tanzania bila CCM inawezekana. CCM ni chama cha watu wavijijini na watafuta Fursa.

Chadema ni chama cha vijana wasomi na watu wanaojitambua; sitegemei kijana From 18-28 akaichagua CCM na ndo idadi kubwa yawapiga kura wote.

See you again CCM
kwa kipindi cha miaka 4 iliyopita CCM imeimarika sana, Chadema haina ubavu wa kupambana na mwamba
 
Back
Top Bottom