Kuingia vyuoni mwaka huu

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Jamani, hivi mwaka huu mbona sielewi muda gani wanafunzi wanaoanza mwaka wa kwanza wanaingia mwezi gani? Au majina yanatoka lini?

Kwa anaejua, please nijuze.
 
SERIKALI: Vyuo vitafunguliwa kati ya tar 4-5 November 2015
 
Jibu ni hili
 

Attachments

  • 1438760473397.jpg
    1438760473397.jpg
    39.3 KB · Views: 403
Back
Top Bottom