Kuingia kwenye LAWSON

Kuingia kwenye LAWSON

punjabu

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
89
Reaction score
65
habari wakuu, mimi ni mwajiriwa mpya katika halimashauri ila bado sijapata check number lakini details zangu zimeshatumwa hazina, katika cheti changu cha kuzaliwa jina langu limekosewa herufi moja kwa hiyo lipo tofauti na vyeti vya elimu kwa herufi moja. SWALI JE HII INAWEZA FANYA NISHINDWE KUINGIA KWENYE SYSTEM.

ASANTENI SANA.
 
Kama approver akigundua aanaweza aakakutema hivo ininatakiwa uukawaombe rita wakubadilishie cheti cha kuzaliwa
 
mim cha kwangu pia kilikosewa lakin nilipata salary na taratibu zote zilifanyika bila kubadilisha.
 
Back
Top Bottom