Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Nilijua MADRID lazima wapewe dozi at the moment Barca wako hot na wanapewa nafasi ya kufanya kama MANU last season
 
Wakome Kufukuza fukuza Makocha nao.....Barca this season hope watafika fainali ya CL, naona wame-seatle internal wrangles kama za Last Season.
 
madrid walianza mechi kusema kweli wakiwa na one mission tu nayo ilikua kumvunja messi or kumfanya asicheze mpira wake wa kawaida maana ilikua ni kiatu kwa kwenda mbele akiwa na mpira!

think dis season madrid hata nafasi ya 3 wasipoangalia hawatapata!
 
niliangalia mechi hiyo usiku wa mamane na Barca walitawala mpira na niwape sifa madrid kwa kujilinda vizuri kwa kipindi chote cha mchezo. Ball possession was 72% kwa Barca. viva Barca !
 
Naona Etoo kama kawaida, anawatia goli real madrid. I think wanajuta sana walichomfanyia...
 
Niliiona hiyo mechi na unachosema ni kweli kabisa. Barcelona sasa hivi ni wakali sana kama hawatakuwa na majeruhi basi watakuwa mabingwa katika mashindani yote wanayoshiriki.
 
Jamani, Mnakumbuka hizi njozi za 2006????? SOMETIMES UKISOMA THREADS ZA ZAMANI UNACHANGANYIKIWA KABISA

WE WERE SOOOOOOOOOO MOVED WITH SUCH A VISIT
 
It is that every year since Real Madrid won the Champions League in 2002, the team that knocked them out has fallen to the eventual winners of the Champions League.
2003 Juventus beat Real (semi final), AC Milan beat Juventus in the final
2004 Monaco beat Real (Quarter final), Porto Beat Monaco
2005 Juventus beat Real (round of 16), Liverpool beat Juve
2006 Arsenal beat Real (round of 16), Barcelona beat Arsenal
2007 B Munich beat Real (round of 16), AC Milan beat Bayern
2008 Roma beat Real (round of 16), Man utd beat Roma
2009 Liverpool beat Real (round of 16)...........Nani atamfunga Liver?.............................
 
Neo-nostradamus una maana Liverpool atamfunga Chelsea 3 - 0 alafu atamtoa Barcelona ili aingie fainali na kufungwa na Arsenal?
 
Neo-nostradamus una maana Liverpool atamfunga Chelsea 3 - 0 alafu atamtoa Barcelona ili aingie fainali na kufungwa na Arsenal?

Kama umesoma vizuri na umeelewa ni kwamba Liver itabidi apigwe na Chelsea,na Chelsea ndiye bingwa wa msimu huu Champion League.pole sana nimeshakushtukia wewe ni mshabiki wa Liverpool.Hatutawafunga nyingi sana next week,tutawapiga 2-1 tu.
 
Mkuu mimi sio shabiki wa Pool. Blues hamna ubavu wa kuwafunga Barca. Bingwa anajulikana na sio Man U.
 
Mkuu mimi sifungamani na upande wowote but never say never in football..Ulijua kwamba Liverpool watafungwa tatu ndani ya Anfield?: and for your record ujue kwamba huwa Chelsea na Barca wana historia ndefu kwahiyo incase chelsea will go through (manake Liverpool still stand a chance though it is very very slim) anything can happen. Na ukifuatilia pia uzoefu wa Guus Hiddink relatively to ya Gadiola utaona upepe mwaka huu unaelekea wapi
 
Hili kombe kama hujawahi kulichukua huko nyuma sahau (Arsenal na Chelsea) mtakuwa wasindikizaji tu
 
Hili kombe kama hujawahi kulichukua huko nyuma sahau (Arsenal na Chelsea) mtakuwa wasindikizaji tu

Mkuu umeanza lini kazi ya Shekhe Yahaya? Kila kitu huwa na mwanzo!
 
Hili kombe kama hujawahi kulichukua huko nyuma sahau (Arsenal na Chelsea) mtakuwa wasindikizaji tu

Kwani hao Barca na Liver au B.Munich walianzaje,naona na wewe ni walewale mashetani wekundu mnajipa moyo.kila kitu kina mwanzo wake.Vile vile kumbuka hili kombe huwa hachukui mtu mfululizo.J4 sio mbali tutapata majibu ya nani zaidi.
 
Unauhakika na ulichokisema hapo?? ebu pitia Baadhi ya record za nyumba upate kuwajuwa mabingwa

Mkuu mimi sio shabiki wa Pool. Blues hamna ubavu wa kuwafunga Barca. Bingwa anajulikana na sio Man U.

Maneno mengi ya nini bwana ww sema MIMI NI MNAZI NUMERO UNO WA GOONERS! au sio Compa🙄
 
Unauhakika na ulichokisema hapo?? ebu pitia Baadhi ya record za nyumba upate kuwajuwa mabingwa

Nina uhakika sana!labda umesahau haya mashindano yameanza kuitwa uefa champion league lini,miaka hiyo yalikuwa hayaitwi jina hili la sasa.
 
Nina uhakika sana!labda umesahau haya mashindano yameanza kuitwa uefa champion league lini,miaka hiyo yalikuwa hayaitwi jina hili la sasa.

yea kwa mantiki hiyo upo sawa..nilidhani unazungumzia toka uanzishwaji wake wa European cup zos days
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…