Kuijenga Tanzania

Kuijenga Tanzania

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,297
Reaction score
18,046
Maendeleo ya nchi ni kama ujenzi wa nyumba. Ukipata fundi mzuri, unaweza kupata nyumba nzuri.

Bahati mbaya sana, Tanzania tumempa kazi fundi Maiko. Fundi mkuu ni yeye na wasaidizi wake anawaona kama vinyago tu.

Kujenga ni yeye. Kibarua ni yeye. Budget ya ujenzi haina maana kwake. Kujenga tofali anajua. Kuweka umeme yupo. Kuweka mabomba yupo. Kuweka tiles yupo. Kupaua yupo.

Aliikuta kwenye kozi nne. Sasa hivi bado yupo kozi ya tatu. Maana alianza upya eti mafundi watangulizi waliharibu na kuiba sana.

Itakuwa sio nyumba ni kituko na komedi.
 
Back
Top Bottom