Kuiga kwingine bana

Mshana jr;
Atapandaje kule Mamba miamba kumsalimia Kilango jamani. Wengine mkiwaoa mwisho same mjini tu
 
mbona kakomaa sana miguu kama selena william????
 
Hii kali mimi huku kishumundu meru juu seera nasema ndio kwanza naona hii
 
labda umekosea kuangalia vizuri ya kwako sio hio ni hii hapaView attachment 306421

Hahhahahaaaa Hahhahahaaaa Hahhahahaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙊🙊🙊🙊🙊💃💃💃💃💃💃💃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…