Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,420
Wakuu, jana tumeshuhudia rais akisaini hati ya kuifuta CDA . Lakini tunaambiwa hii CDA ni chombo kilichoanzishwa kwa sheria ya bunge.
Hatua ya rais kuamua kuifuta CDA tasfiri yake ni kuwa 'ameigusa' sheria ya kuundwa kwa mamlaka hiyo. Navojua mabadiliko yoyote ya sheria ni lazima yapelekwe kwanza hukohuko kwa hao walioitunga yaani bunge.
Au kuna nguvu maalum zinazomwezesha rais kufuta sheria juukwajuu kama alivyofanya kwa CDA? Karibuni tuelimishane.