Kuifinyia Kwa ndani

Weee sema kweli babuu?
Kumbe kuna kupewa viwanja na hunistui mjukuu wako hapa 😂😂😂🤔!
 
Mkuu hiyo ni hatari

Mama ako mdogo alikuwa ananambia “bebi nikikufinyia huwa unaunguruma kama simba “

Mimi sikuamini bhana
Siku moja alinirekodi sauti asee baada ya kumaliZa tulicheka sana
 
Weeee thubutruuuuuuuu 😁😁😁! Kula raha kwaraha zakoo granpa kwani wee hupendi utamu??? Ng'ombe hazeeki maini Weeehhh!
Babu yenu umri umenitupa mkono, mara ya mwisho nilitaka kufia kitandani baada ya kupewa hizi mambo, nilijikuta natetema zaidi ya Mayele🙈🏃🏃🏃
 
Babu yenu umri umenitupa mkono, mara ya mwisho nilitaka kufia kitandani baada ya kupewa hizi mambo, nilijikuta natetema zaidi ya Mayele🙈🏃🏃🏃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hahahaaa..at least umenichekesha Jioni ya leo babuu santo sana hahahaaa

Mzee mzima Nakuimagine sikupatiii picha kabisa khakhaa!!
Acha waendelee kukufinyia tu kwa ndani Babu Yangu ufurahie maisha!!
 
Ni tukio la mwaka 1983 lakini hadi leo hii nalikumbuka.

Nikiendelea kwa Uzee huu mtasikia Kibabu cha miaka 92 chafia Lodge 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…