Kuifinyia Kwa ndani

Ukikutana na anayeweza kuifinyia kwa ndani usipokuwa makini unaweza telekeza familia.

Na mkiwa katikati ya mchezo akikuomba hata umnunulie kiwanja Goba lazima ukubali tu

Baadaye ndiyo akili inarudi kuwa uwezo wako ni kumnunulia kiwanja Chanika 🙌🏃🏃
 
Jifunzeni kuhusu saikolojia ya mapenzi hamtoumizwa na mapenzi. Epuka uteja wa mapenzi kwa kutounganisha nafsi. Maumivu huja pale nafsi zilizoungana kutenganishwa. Thus huwa baada ya nafsi kuachana huwa mtu unajiona mjinga kumbe ni utoto tu kulilia mapenzi, kujiua kisa mapenzi, kuteseka kisa mapenzi.
Asipokupenda wapo millions wanalilia hio nafasi ya kuwa nawe.
Open yours eyes, usijifungie kwenye box la fikra ya kumlazimisha mtu awe nawe.
 

Nakubali mwaisa una content sana...[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…