MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,623
Upuuzi gani 😄 namfundisha how to be a man, ni mtoto?Acha kumfundisha mtoto upuuzi
Na hapo hajakufinyiaDah nilijaribu kumpotezea cha ajabu saa tano niapiga simu kumuomba msamaha au kaniloga
Dah naumia sana nampendaAcha kumfundisha mtoto upuuzi
Mtoto mdogo sana huyo, acha kumkomazaUpuuzi gani 😄 namfundisha how to be a man, ni mtoto?
Usimwambie yote 😆Na hapo hajakufinyia
Mbona utakoma
Sio mbaya kama ni mtoto atakua na atakutana nayo ni vizuri akipata ABCDMtoto mdogo sana huyo, acha kumkomaza
Dah ngoja nikaushe zangu ila humu ata mtu alet uzi wowote ule siwez jaribu kamwe
Pole sana tatzo lako umeingia hadi na viatu mzima mzima.Dah naumia sana nampenda
Kwamba akinifinyia itakuwaje?Na hapo hajakufinyia
Mbona utakoma
za kuambiwa changanya na zakoDah ngoja nikaushe zangu ila humu ata mtu alet uzi wowote ule siwez jaribu kamwe
Kula tunda kimasihara imeniharibu sikuwa tongoza mama mwenye miaka 50 ila ujasir sijui niliupata wapi nikaja tuanwa pale kibo mbele za wat uhu nao una niachanisha na mpenzi wangu
Hyo Ni kifo Cha mende advancedUshawai mkunja mtu saba?
Uyu dem nilimpenda since day one na alinisumbua sana huyuPole sana tatzo lako umeingia hadi na viatu mzima mzima.
Do you like a girl who doesn't seem interested?Dah kwahiyo niwe vipi
Utakuwa mateka wakeKwamba akinifinyia itakuwaje?
Dah kweli najuta mimiza kuambiwa changanya na zako
Mh sure?Utakuwa mateka wake
“Yes for everythin
Mwanaume acha kulia lia mzeeMimi kaka sasaiv ata mueleze nini humu siwaelewi hawa majamaa wameniponza mimi [emoji24][emoji24] mpaka sijibiw sms tena
Ngoja nifute namba af nijikaushe mpaka anitafute aseDo you like a girl who doesn't seem interested?
Achana naye you're too valuable to waste time kujaribu kuforce akukubalie
Pole sanaUyu dem nilimpenda since day one na alinisumbua sana huyu