Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,405
- 114,843
ππ sijakuponza wewe si ndio umetaka kuufaidisha umma? Ulitakiwa utulie usimwambie oh sijui umesikia kwa watu, atakuona kiazi tena kiazi mviringoSasa wewe unge muulizaje? Dah umeniponza
Huo u-good boy ndo unakufanya akuteseAm good boy ila mm sijuag why kwake nipo hivi najikuta na mpenda sana
Mwanaume ukishaona ke anakuletea maringo tu nawe mletee malingo vilevile hata Kama unamkubali. Being nice to her all the time is ain't an insurance you have won her love completely.Unaanza kufeli mkuu unapelekeshwaje? Kumpenda mtu na kukupelekesha ni vitu viwili tofauti. Achana na huyo Ke kama anakupelekesha na hauwezi kubadilika maana utageuzwa toy uwe lizoba
ππ aloohJf kuna kiasi ina niharibu sana kila kitu nacho kisikia uku nikitaka kujaribu lazima iniletee shida ona sasa na hati hati ya kuachwa tena [emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 2520929
Yaani usimruhusu demu akajua bila yeye huwezi fanya kitu I mean kuwa usimruhusu ajue kuwa you have follen on her completely, utateseka boy ohooAm good boy ila mm sijuag why kwake nipo hivi najikuta na mpenda sana
Ndio na mbembeleza ajibu sms tena sms alio jibu ni moja tu jamanne sijiJaribu kumshusha taratibu kwa maneno ya kujenga na si kubomoa atakuelewa tu mkuu.
MpotezeeNdio na mbembeleza ajibu sms tena sms alio jibu ni moja tu jamanne siji
Shida siwez ficha hisia zangu nashindwa jizuia nikipemdaYaani usimruhusu demu akajua bila yeye huwezi fanya kitu I mean kuwa usimruhusu ajue kuwa you have follen on her completely, utateseka boy ohoo
NgumuMpotezee
Dah kwahiyo niwe vipiHuo u-good boy ndo unakufanya akutese
Kweli kabisa, ke akiona unakua nice sana anakuona kama mwenzie vile. Na akishajua unampenda sana hujiwezi kwisha habari yako akiamua kukutesa atafanikiwa mnoMwanaume ukishaona ke anakuletea maringo tu nawe mletee malingo vilevile hata Kama unamkubali. Being nice to her all the time is ain't an insurance you have won her love completely.
Toka hapa shetani πππ alooh
Naona wanakufunda πToka hapa shetani π
Hapo ndipo unapofeli. Ukiuvuka huo mtego utakuja kuwa malaya wewe na hautakuja kujari hisia za wanawake am serious mkuu.Ngumu
Umetokea wapi kwazaNaona wanakufunda π
Kadri unavyozidi kumsms ndio anapata jeuri na kiburi we tulia kula ganzi kiume uone kama atakaa kimyaNdio na mbembeleza ajibu sms tena sms alio jibu ni moja tu jamanne siji
Acha kumfundisha mtoto upuuziKadri unavyozidi kumsms ndio anapata jeuri na kiburi we tulia kula ganzi kiume uone kama atakaa kimya
Dah nilijaribu kumpotezea cha ajabu saa tano niapiga simu kumuomba msamaha au kanilogaHapo ndipo unapofeli. Ukiuvuka huo mtego utakuja kuwa malaya wewe na hautakuja kujari hisia za wanawake am serious mkuu.
PmUmetokea wapi kwaza
Ngoja nikausheKadri unavyozidi kumsms ndio anapata jeuri na kiburi we tulia kula ganzi kiume uone kama atakaa kimya