Kuibuka kwa wakongwe wa kisiasa na kuikosoa serikali ni kipi wanakitafuta?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Wadau Mimi siongei mengi.

Warejee Professor Mwandosya na Dr Kagasheki. Wamekuwa wakitweet mambo negative dhidi ya serikali. Hivi wanamaanisha au unafiki na hasira juu ya Mtu Fulani?
 
Awamu iliyopita walimkosoa Kikwete kwa nguvu zote,watu waliandka hadi vitabu ...Tasisi ya Mwalimu Nyerere hawakuona haya kuikosoa Serikali ...lakini leo mhhhhh watu kimyaa! Wamebaki hao Wachahche wanaibuka na kuzama! Ila siku akiondoka JPM tutasema mengi sana!
 
Anayekukosoa ni rafiki mzuri anapenda ufanikiwe kwani anakuonesha penye mapungufu urekebishe, anayekusifia kwa kila kitu hata vya kipumbafu ni mnafiki wala hakusaidii. Naamini wanafanya hivyo kwa nia njema na wanaipenda nchi yao, ni kazzi ya wanaokosolewa kuchagua pumba ni zipi na mchele ni upi waupike
 
Hawa nao ni wanasiasa ?, hao wachuro waliachiwa benchi walisugue,wana stress zao tu
 
Wadau Mimi siongei mengi.

Warejee Professor Mwandosya na Dr Kagasheki. Wamekuwa wakitweet mambo negative dhidi ya serikali. Hivi wanamaanisha au unafiki na hasira juu ya Mtu Fulani?
When your eye sight is working properly you can call a spade a spade not a big spoon
 
Hivi ni kwanini watanzania wengi wakiongozwa na huyu mleta mada hua hawana uwezo mkubwa wa tolerance? Mtu akisema jambo tofauti na wewe lazima aitwe i.e. mkosoaji,mpinzani etc kwanini asiitwe mwenye mawazo mbadala halafu tukaendelea au kwani mtu akisema jambo tofauti ja wewe kuna kitu lazima awe anakitafuta?
 
Wadau Mimi siongei mengi.

Warejee Professor Mwandosya na Dr Kagasheki. Wamekuwa wakitweet mambo negative dhidi ya serikali. Hivi wanamaanisha au unafiki na hasira juu ya Mtu Fulani?

Unasema mambo negative 👎 unakosea. Kukosoa sio negative
 
Anayekukosoa ni rafiki mzuri anapenda ufanikiwe kwani anakuonesha penye mapungufu urekebishe, anayekusifia kwa kila kitu hata vya kipumbafu ni mnafiki wala hakusaidii. Naamini wanafanya hivyo kwa nia njema na wanaipenda nchi yao, ni kazzi ya wanaokosolewa kuchagua pumba ni zipi na mchele ni upi waupike
Unataka kuniambia Marais wastaafu hawana nia njema ndyo maana kila wakati ndiyo mzee?
 
Awamu iliyopita walimkosoa Kikwete kwa nguvu zote,watu waliandka hadi vitabu ...Tasisi ya Mwalimu Nyerere hawakuona haya kuikosoa Serikali ...lakini leo mhhhhh watu kimyaa! Wamebaki hao Wachahche wanaibuka na kuzama! Ila siku akiondoka JPM tutasema mengi sana!
Tunaweza tukakosa mengi ya kuzungumza kwani 2020 hadi 2025 anaweza kutuziba midomo kwa kuacha historia mujarabu ktk uchumi wa nchi.
 
Wadau Mimi siongei mengi.

Warejee Professor Mwandosya na Dr Kagasheki. Wamekuwa wakitweet mambo negative dhidi ya serikali. Hivi wanamaanisha au unafiki na hasira juu ya Mtu Fulani?
ndio maana kuna baraza la wazee na hii ndio kazi yao ,pale wanapoona mambo yanaenda kombo lazima waseme neno...BUT si kila mzee unapaswa umsikilize
 
Back
Top Bottom