Kuibia kwenye mtihani

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Suluhisho bunifu la kuwazuia wanafunzi wanaopenda kuibia kwenye mtihani!

 
hivi ni kweli wachina ndio walioanzisha suala la kufanya mitihani?
 
Hiyo ni komesha, hawezi hata kuangalia kwa jicho la pembeni.
 
Teh teh teh bway bway ata kugeuka ni taabu tupu.nashaur na bongo iwe implemented
 
Hakuna ambalo haliwezekani Bongo.
Mjapani anatengeneza pikipiki lakini mtanzania anai modify na kuifanya gari. Itashindikana kuibia kwenye mtihani? Hii ndo bongo...hakuna lisilowezekana ,labda kubuni gari tu..na tukishindwa tunaenda China.
 
aiseeee hii ni kali kinoma waweza feri vibaya nalog off
 
unajua jamani hili ni vigumu kuli implement bongo ..! kwa kua hata wataalamu wetu wamefika hapo kwa vibomu kama hivyo tuuu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…