Kuhusu world bank kutoa pesa kwa ajiri ya tetemeko Kagera

Nomile

Member
Dec 5, 2012
99
122
Habari zenu wakuu

Katika mkutano unaoendelea wa climate change nchini india, Imetaarifiwa kwamba serikali ya Tanzania iliomba NA KUPEWA pesa kutoka world bank ili kukarabati miundombinu iliyoharibika huko Kagera.Je taarifa hizi zikoje mbona hakuna mchango wowote kutoka serikalini ulioenda kagera kama fungu kutoka world bank?
 
Unazungumzia mchango, rambirambi au kukarabati miundo mbinu?
 
Habari zenu wakuu

Katika mkutano unaoendelea wa climate change nchini india, Imetaarifiwa kwamba serikali ya Tanzania iliomba NA KUPEWA pesa kutoka world bank ili kukarabati miundombinu iliyoharibika huko Kagera.Je taarifa hizi zikoje mbona hakuna mchango wowote kutoka serikalini ulioenda kagera kama fungu kutoka world bank?
Kwa sababu rambi rambi zetu zimeshaibiwa hizo ni michango ya kuhonga wapiga kura 2020
 
aulizwe mkuu wa nchi.. na haya ndo maswali wanayotakiwa kuhoji waandishi wa habari kwa viongozi ili wananchi tujue nani mchele na nani pumba!
sio vizuri kupeperusha bendera ya chama chochote wkt nchi haiendi vyema.. hadi rambirambi inapigwa sasa tutashindwa kutofautisha wapiga dili na mpinga dili!
 
Kuna watu wanajifanya wakali ili wasihojiwe. Yaweza kuwa sasa hivi kuna ufisadi mkubwa ambao haujapata kutokea katika historia ya nchi hii
 
Acha ujuha!!weka chanzo cha habari!!mnaita hasira!!!hata kama iliomba he ilipewa??hivi hamnaga hoja nyingine jamani
 
Back
Top Bottom