kuhusu wanawake wenye chunusi

kuhusu wanawake wenye chunusi

jamaa yangu leo npo nae maeneo flani hapa town tunapga story et ananiambia wanawake wenye chunusi wana ladha na joto sana kuliko wanawake wengne eti nikweli?

au anajiwekea difence mechanism mana mwanamke wake ana chunusi hadi huruma!
leo naonaa uko kijiweni tu maana story zako.....mara madege anaishi wapi?mara mademu wenye chunusi....ujitaidi uwende ukafanya na vibarua mkuu
 
Back
Top Bottom