wadau mm n wa 2round,, lakn mda huu naingia kwenye profile yangu nmeletewa ujumbe ambao unajulisha nmepata 1round alafu unasema CAS now is open for 2round,,,, alafu nlkuwa wa 2rond km nlvyotel hapo juu cjawaelewa nsaidien wadau
mimi bnafs nimeandikiwa "you are provissional selected into one programe of your choice" kwa upeo wangu mdgo ni kwamba nimeshapita 2nd round ,sasa ukikuta umewekewa hyo negative au 0 ujue ktk hzo programe ulizochagua still hujawa na vigezo ,kwa kifupi umetemwa ,kwahyo wewe 3rd round inakuhusu.