Kuhusu Visa Appointment

Kuhusu Visa Appointment

Owl123

Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
23
Reaction score
25
Wakuu naombeni mnisaidie
Ninapofanya German Visa appointment...kuna option inasema secure your appointment alafu imendikwa 92,000 so naomben kujua je hyo ni mandayory kwa kila mtu au mi ndo nmechemka
Na natakiwa juilipa hiyo pamoja na visa fee???
 
92,000 haijawa specific kwamba ni hela au ni idadi ya watu au ni kitu gani... Fanya kuwasiliana nao waulize iko ni nini, kama unawaogopa tuma Screenshot tukusaidie kupembua.
 
Anayefahamu kuhusu US visa ile amount ya 690,000 ukiacha ile 280,000 unayolipa mwanzoni wakati wa kufanya appointment anieleweshe tafadhali
 
Nilkuwa na short programe boss just miez mitatu
Nilkuwa sjui linaitwa jimbo... Neundertalsau na baadae nilikaa kwnye jiji linaitwa Nürnberg
Nilisharejea boss
 
Back
Top Bottom