Kuhusu viongozi wa kisiasa wenye vyeo vya juu kuingia na walinzi wao makanisani au misikitini maana yake nini?

paliemba

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
445
212
Wadau kuna kitu huwa kina nishangaza saanaa pale ninanapo waona viongozi wa kisiasa wakubwa wanapo ingia kanisani na walinzi wao sijui huwa wana maanisha nini ? Au pengine huwa ni hisia zangu tu?

1). Au mungu wanaye mwabudu huwa hana kinga ya kutosha dhidi yao .?

2). Au imani yao ni haba kiasi cha kupelekea kujawa na hofu ya maisha yao wawapo madhabahuni mwa Bwana atoaye ulinzi kwa wote?

3).Au walinzi wao huamua kufanya hivyo kwa kutoamini usalama wa mazingira ya ibada wanamo abudiwa.?

4). Na vipi kwa wale wakristo wanao amini katika maandiko yanayo sema kama bwana asipo ulinda mji wakeshao wanakesha bure?

Natanguliza shukrani zangu nyingi karibu kwa mjadala .

PALIEMBA ...
 
Kwa sababu kuna bad people kila mahali, isitoshe hata Papa mwenyewe analindwa hadi Kanisani kwake!
 
Haya maswali mengine ya kisenge kwa kweli, ushasema viongozi wakubwa wa kisiasa ko unataka nini sasa. Kama papa analindwa akiwa kanisani anasalisha itakuwaje kwa rais na viongozi wengine?
 
Msamehe mkuu, anakutafutia ban tu huyu, wadau wanamalizia week end jamani tusiharibiane siku ‍♂️‍♂️‍♂️
 
Nonsense kabisa...

Ivi akiwa kanisani maana yake yupo mbinguni kwamba asilindwe na wanadamu? Gwajima mwenyewe ni askofu na analindwa na binadamu sembuse mwanasiasa...!!!
Nani kakwambia mungu katika imani anahitaji ulinzi ? Mungu mwenye nguvu hujipigania mwenyewe na si kama unenavyo wewe kichaa
 
Mungu huwa halindi wanasiasa kamwe.

Mungu hapatani na wanasiasa

Hivyo hujilinda wenyewe na hutengeneza mbingu zao/pepo
 
Serikali haina dini bali wanainchi ndio wenye imani. Lakini ukitaka jua nani anamiliki utawala huu rudi majaribu matatu ya bwana Yesu kristo alipofunga siku 40, shetani alimtokea na moja ya jaribu alimwambia " nisujudie nami ninampa miliki na tawala za dunia na yeyote atampa ....." jibu la kristo imeandikwa msujudie bwana Mungu pekee.
 
Msamehe mkuu, anakutafutia ban tu huyu, wadau wanamalizia week end jamani tusiharibiane siku ‍♂️‍♂️‍♂️
Msenge ni wewe usiye tafakari rejea maandiko "bwana asipo ulinda mji wakeshao wanakesha bure"
 
Back
Top Bottom