kuhusu USSD security

kuhusu USSD security

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
Kumetokea wimbi la wizi wa kuforward message Feki za hizi mobile payments kama MPesa Tigo pesa etc.

Je hii inatokea vipi? Na njia gani ya kuzuia maana nahisi sio rahisi mwizi kufanikisha hili unless kuna insider....

(Au kuna njia nyingine.... Its just for education purpose nathing more)
 
Dreson3 hizo text zinakuja na Namba ya M-PESA/TIGO PESA au ?

Nikimaanisha
sender = M-PESA/TIGO PESA
 
Last edited by a moderator:
Dreson3 hizo text zinakuja na Namba ya M-PESA/TIGO PESA au ?

Nikimaanisha
sender = M-PESA/TIGO PESA

Yap huwa zinaenda hivyo na still balance inpungua au inaongezeka na amount ile ile aliyotuma jamaa

Kama balance mpesa ilikuepo 50000 jamaa akatoa 3000 utaona kweli imeongezeka 53000 utakuja shtuka pale atakapotoa mwingine maana utakuta balance tofauti ukiuliza makao makuu watakwambia hakuna transaction yoyote iliuofanyika
 
Last edited by a moderator:
Dreson3

Nionavyo

System zao kuwa hijacked ni vigumu ! Kwamba wahuni wawe wanafanya kamchezo hako ! Hapana !


Ila kuna ishu moja hivi !
Yaani kwamfano mimi ni mmiliki wa M-PESA wewe unapokuja kutoa hela kwangu ! Lets say !

Umekuja kutoa Tsh 35000/=
ntaanza mimi mmiliki kutumiwa sms baada ya wewe kukamilisha muamala mzima ! Baada ya hapo itabidi nisubiri na kwako SMS iingie mana some times PESA huwa inarudi !

Na hata kama tunatumiana PESA rafiki na rafiki ! Sometimes huwa inarudi !

Network ikiwa inazingua !
Ndipo inaonekana No transaction Done there !
 
Last edited by a moderator:
MTU anatoa labda 20000 na sms inaingia kabisa kwa wakala unampatia ela mteja ukija kuangalia salio km wakala unakuta hakuna salio lililoingia!!Mi imenitokea kwa Tgo pesa
 
mawakala wengi si waaminifu unaeza kumpa pesa kakiwekea ktk simu ukiondoka tu anapiga simi costomercare kuwa kakosea no na pesa yote anarudishiwa.watu wengi wamekimumbwa na zahama hiyii.hivyo tuwe makini na hawa mawakala
 
Kwangu mimi nahisi utakua ninmchezo unachezwa kati ya watu wanaoauthorise hizi payments (makao makuu) na mtoaji
 
Back
Top Bottom