Kuhusu upimaji viwanja

Kuhusu upimaji viwanja

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Wataalamu naomba kueleweshwa juu ya upimaji viwanja. Naomba kujua vifuatavyo:
1. Yale mawe aka bicon yanamaanisha nini?
2. No. Za juu ya mawe zunawakilisha nini?
3. Je kila no. Ya jiwe inatofautiana toka jiwe moja kwenda jingine?
4. Yale mawe katikati kuna chip au sensor yeyote endapo litazama ndani ya udongo, location yake unajuaje?
5. Gharama za kuprocess hati kwa sasa ni kiasi gani, baada ya hatua ya upandaji mawe kuisha.
Karibuni wataalamu wetu.
 
unakiwanja unataka kipimwe au unataka kutuumiza vichwa na maswali yako tu hapa watu wameshaanza weekend zao
 
Wataalamu naomba kueleweshwa juu ya upimaji viwanja. Naomba kujua vifuatavyo:
1. Yale mawe aka bicon yanamaanisha nini?
2. No. Za juu ya mawe zunawakilisha nini?
3. Je kila no. Ya jiwe inatofautiana toka jiwe moja kwenda jingine?
4. Yale mawe katikati kuna chip au sensor yeyote endapo litazama ndani ya udongo, location yake unajuaje?
5. Gharama za kuprocess hati kwa sasa ni kiasi gani, baada ya hatua ya upandaji mawe kuisha.
Karibuni wataalamu wetu.
1. Yale mawe aka bicon yanamaanisha nini?
Beacon/ mawe yana maana ya kuashiria ukomo/mwisho wa eneo lililopimwa, yaaani ni mpaka

2. No. Za juu ya mawe zunawakilisha nini?
Namba ni kumbukumbu ya utambuzi wa beacons/mawe.
3. Je kila no. Ya jiwe inatofautiana toka jiwe moja kwenda jingine?
Ndio kuna utofauti wa namba kulingana na eneo na halmashauri au mamlaka husika. Ofisi ya Upimaji ndio hutoa kibali cha kuandika namba katika mawe ili kusiwe na mkanganyiko. Yaaani kwenye block moja au locality moja hakuwezi kuwa na jiwe lenye kufanana hii husaidia utambuzi wa eneo kwa haraka na rahisi.
4. Yale mawe katikati kuna chip au sensor yeyote endapo litazama ndani ya udongo, location yake unajuaje?
Hakuna . Ila usiibe wala kuhamisha ni kosa kisheria
5. Gharama za kuprocess hati kwa sasa ni kiasi gani, baada ya hatua ya upandaji mawe kuisha.
Ni tofauti kulingana na eneo unalomiliki.
 
ahsante sana ndugu. Elimu tosha kwa wengi
 
Naomba kujua hili! Katika UPIMAJI SHIRIKISHI, kampuni imepima na kuniwekea BEACONS, lkn mwaka wa pili sasa wameingia mitini! Nawezaje kuumalizia mchakato mwenyewe?
 
mlengo njoo utupe uzoefu kwa hili.
Na wengine pia mtupe ujuzi kwa hili
 
Siyo marefu kwenda chini, vipi endapo yatasombwa/kusogezwa/kuhamishwa na maji kwa mmomonyoko wa udongo?
 
Ni vizuri kuwa na kumbukumbu ya namba ya jiwe. Kama limepotea wakija na mashine wakiweka watatambua coordinate na sehemu husika ya jiwe. Pia kama limepotea ukiwa na kumbukumbu na document sahii unatengenezewa upya. Ukishapata plot number hicho/hiko kiwanja hakipotei.
 
Naomba kujua hili! Katika UPIMAJI SHIRIKISHI, kampuni imepima na kuniwekea BEACONS, lkn mwaka wa pili sasa wameingia mitini! Nawezaje kuumalizia mchakato mwenyewe?
Kama Upimaji shirikishi kuna baadhi ya changamoto kubwa ikiwa kumaliza kazi kwa wakati. Yawezekana kabisa eneo lako likawa lipo Sawa lakini wengine wakawa na changamoto kwenye maeneo yao.
Hili upelekea kuwa na ugumu wa kutekeleza upimaji binafsi kwani yawezekana kukawa na mchoro mpya pendekezwa wa eneo. Nakushauri ufuatilie kujua kama mchoro mpya wa mipango miji unaendana na uhalisia wa eneo lako, kisha unaweza kupima binafsi tofauti na hivyo, inabid usubiri zoezi la jumla au utumie gharama kubwa zaidi kwa kuandaa mchoro wako binafsi.
 
Siyo marefu kwenda chini, vipi endapo yatasombwa/kusogezwa/kuhamishwa na maji kwa mmomonyoko wa udongo?
Endapo jiwe litaama au kupotea unaweza kutafuta wataalam kwa kutumia vifaa na taarifa za upimaji wanaweza kurudisha mipaka husika( ufufuaji wa mipaka/ boundary restoration)
 
Siyo marefu kwenda chini, vipi endapo yatasombwa/kusogezwa/kuhamishwa na maji kwa mmomonyoko wa udongo?
Endapo jiwe litaama au kupotea unaweza kutafuta wataalam kwa kutumia vifaa na taarifa za upimaji wanaweza kurudisha mipaka husika( ufufuaji wa mipaka/ boundary restoration)
 
1. Yale mawe aka bicon yanamaanisha nini?
Beacon/ mawe yana maana ya kuashiria ukomo/mwisho wa eneo lililopimwa, yaaani ni mpaka

2. No. Za juu ya mawe zunawakilisha nini?
Namba ni kumbukumbu ya utambuzi wa beacons/mawe.
3. Je kila no. Ya jiwe inatofautiana toka jiwe moja kwenda jingine?
Ndio kuna utofauti wa namba kulingana na eneo na halmashauri au mamlaka husika. Ofisi ya Upimaji ndio hutoa kibali cha kuandika namba katika mawe ili kusiwe na mkanganyiko. Yaaani kwenye block moja au locality moja hakuwezi kuwa na jiwe lenye kufanana hii husaidia utambuzi wa eneo kwa haraka na rahisi.
4. Yale mawe katikati kuna chip au sensor yeyote endapo litazama ndani ya udongo, location yake unajuaje?
Hakuna . Ila usiibe wala kuhamisha ni kosa kisheria
5. Gharama za kuprocess hati kwa sasa ni kiasi gani, baada ya hatua ya upandaji mawe kuisha.
Ni tofauti kulingana na eneo unalomiliki.

2. No. Za juu za mawe zinamaanisha nini?
Jibu la nyongeza: namba za mawe pia zinasimama kama mbadala wa “geographical positioning coordinates” ambazo haziwezi kuenea zote kwenye beacon.
So ikiwa beacon zimepotea na ukawa na hati mkononi yenye survey plan utapeleka namba za beacon wizara ya ardhi watakupatia cordinates utarudi nazo site kuitafuta mipaka kwa kutumia cordinates husika na kifaa husika( GPS)
 
ahsante mkuu
 
Endapo jiwe litaama au kupotea unaweza kutafuta wataalam kwa kutumia vifaa na taarifa za upimaji wanaweza kurudisha mipaka husika( ufufuaji wa mipaka/ boundary restoration)
ahsnte kwa taarifa
 
Kama Upimaji shirikishi kuna baadhi ya changamoto kubwa ikiwa kumaliza kazi kwa wakati. Yawezekana kabisa eneo lako likawa lipo Sawa lakini wengine wakawa na changamoto kwenye maeneo yao.
Hili upelekea kuwa na ugumu wa kutekeleza upimaji binafsi kwani yawezekana kukawa na mchoro mpya pendekezwa wa eneo. Nakushauri ufuatilie kujua kama mchoro mpya wa mipango miji unaendana na uhalisia wa eneo lako, kisha unaweza kupima binafsi tofauti na hivyo, inabid usubiri zoezi la jumla au utumie gharama kubwa zaidi kwa kuandaa mchoro wako binafsi.
nimeongeza elimu kwa kweli
 
Back
Top Bottom