hiyo nisehemu ya interview usipoweka tu umewapunguzia kazi,
kuna matangazo mengine wamesema tuambatanishe leaving certificate na mengine hawajasema kuhusu hilo, hii iko vipi wakuu?
mikazó;8734954 said:hlo la leaving ni la mwaka jana kaka
vipi kuhusu transcript, zinakubalika?
sifa wamesema form six we nae unakuja na transcrpt wapi na wapi,kweli ujobless mtaani unasababisha mtindio flan
from wot i know,hata ukienda kusoma kwenye sehemu ya malalamiko na majibu kwenye website ya ajira kuwa transcript znaruhusiwa ikiwa chuo husika hakijatoa vyeti na kuna sababu muhimu...