Kuhusu ualimu

Vannesa

Member
Jun 3, 2014
49
5
Jamani samahani kwa hili,ni mdogo wangu anaulizia kuhusu majina ya watakaochaguliwa ualimu 2014/2015 yatatangazwa lini?
Kwa anaejua,#nakuomba unijulishe,
http://www.moe.go.tz
 
Asubili wakati wowote kuazia sasa kwani mwisho wa maombi ilikua may 30 na wataitajika vyuoni july mwanzoni.
 
Nao wameshtuka siku hizi kuchukua DIv IV
hakikisha ana Point kuanzia 23 ya Div IV nagalau kuja Div III na II
 
Back
Top Bottom