Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,537
- 31,692
Wadau mwaka jana wakati kama huu tayari Alikiba alikuwa amevunja rekodi kwa kutwaa tuzo nyingi zaidi kwa Mara moja toka aanze muziki! Hizi ni tuzo ambazo zimejizolea umaarufu mkubwa toka kuanzishwa kwake!!
Maswali ninayojiuliza, Imekuwaje mwaka huu kumekuwa na ukimya ambao hauna maelezo yeyote? Je tuzo zimefata njia ya BSS na like shindano la ufalme wa Rhymes la Shigongo?? Kama sivyo kipi kinaendelea nyuma ya pazia??