Kuhusu taifa la Kenya.

maheda0756

maheda0756

Senior Member
Joined
Oct 27, 2016
Messages
108
Likes
146
Points
60
maheda0756

maheda0756

Senior Member
Joined Oct 27, 2016
108 146 60
Habari za Weekend wanajamvi?

Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu Hawa jirani zetu wa Africa Mashariki hasa Kenya.
Tanzania yetu ilipatikana baada ya muungano wa nchi mbili Kati ya Zanzibar na Tanganyika,
Lkn siku zote sikuwahi kujua asili ya neno Kenya na Uganda na ilikuaje yakatumika majina hayo kwa inchi zao,
Pia nimekuwa nikijuliuliza km Jina la Taifa la Kenya linahusiana kwa lolote na rais wao wa awamu ya kwanza Mzee Jomo Kenyata,
Wajuzi ebu nijuzeni habari zozote unazozijua kuhusu hawa jirani zetu.

Nimewaza tu.
Karibuni.
 
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
7,147
Likes
9,983
Points
280
Age
32
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
7,147 9,983 280
Mlima Kenya zamani Waafrika wa maeneo hayo waliuita mlima Kirinyaga, wengine waliita Kiinya. Mzungu akaja na kushindwa kutamka jina lote hilo, hivyo akaita kenia.
Taratibu jina likaishia kuwa Kenya.
Hii sio chai mkuu?
-naomba source
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,728
Likes
11,165
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,728 11,165 280
game over

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
4,666
Likes
6,695
Points
280
Age
49
game over

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
4,666 6,695 280
Mlima Kenya zamani Waafrika wa maeneo hayo waliuita mlima Kirinyaga, wengine waliita Kiinya. Mzungu akaja na kushindwa kutamka jina lote hilo, hivyo akaita kenia.
Taratibu jina likaishia kuwa Kenya.
Kwaiyo mzungu ndiye founder wa Kenya.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,728
Likes
11,165
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,728 11,165 280
Kwaiyo mzungu ndiye founder wa Kenya.
Mzungu ndiye founder wa kila kitu Afrika. Asingekuja hata gesi hamgeijua, hayo maeneo anakoichimba Mtwara mlikua mnalima mihogo.
Wao ndio walichora chora mipaka na kugawana Afrika kama shamba la bibi, kwanza hiyo Tanzania walinyang'anyana wao kwa wao kama mali yao kati ya Mjerumani, Muingereza na Mwarabu, hadi Muingereza akabaki kuwa kidume na kuimiliki. Soma historia taratibu utaelewa na kushangaa bado kazi ipo.

Halafu vipi nilisoma sehemu Mjerumani amewaomba Wabongo muende kwake akawapokeze fuvu zaidi ya elfu za mababu zenu alizobeba akaenda kufanyia utafiti kubaini Mwafrika ni mnyama wa aina gani. Kuna jamaa zangu Wabongo walinichekesha walikua wanahoji za nini, zirudishwe Afrika ili iweje na hawana haja nazo, wao wanawaza kupiga hela mjini kwenye mishe zao hivyo mambo ya fuvu hayawahusu.

Over 1,000 skulls from Germany's colonies still sitting in Berlin
The skulls belong to east Africans brought to Berlin during the colonial era for racial "scientific" research. Recently, Germany has been prompted by former colonies to return the remains of indigenous inhabits.
German public broadcaster ARD said on Tuesday that it had obtained lists of human remains still held by the Prussian Cultural Heritage Foundation, the group administering Berlin's state museums.

The list shows that the foundation holds more than 1,000 skulls originating from Rwanda and some 60 from Tanzania. Both countries belonged to the German East Africa colony from 1885 to 1918.

Some of the remains are believed to have come from insurgents who were killed by German troops during the colonial wars. Their skulls were subsequently sent to Berlin for "scientific" experiments.

Over 1,000 skulls from Germany's colonies still sitting in Berlin | News | DW.COM | 23.11.2016
 
Nimechokonoa Nikijua utatiririka hatari.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,728
Likes
11,165
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,728 11,165 280
Nimechokonoa Nikijua utatiririka hatari.
Sasa ulibeep ukitegemea sitakupigia, Afrika imekaa ovyo na hatuchekani. Babu zetu walichemsha balaa halafu sisi wa leo ndio tumekua bure bora hata wao, maana elimu tunayo lakini tunaagiza sindano hadi leo.

Vipi hujalala, nimeona kwenye mitandao RC Makonda anafanya yake mkoa wote wa Dar. Sijui kama itakua usanii, lakini kama kweli anamaanisha aisei hapo namuunga mikono maana mtanyooka, waliouza ardhi kiholela itakula kwao. Tatizo nyie ni wale wale, mfupa uliomshinda fisi, Magu anashtukiza balaa lakini kila akirudi anakuta uovu ule ule hamjabadilika.

Japo naye naona kama atakua anapotoshwa na washauri, kapiga bodi ya mapato chini na sababu alizotoa hazina mashiko. Bodi ni non-executive na huwapigi chini kwa makosa ya kuweka hela kwa benki.
 
SHAMMA

SHAMMA

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Messages
27,220
Likes
77,825
Points
280
SHAMMA

SHAMMA

JF-Expert Member
Joined May 23, 2015
27,220 77,825 280
Sasa ulibeep ukitegemea sitakupigia, Afrika imekaa ovyo na hatuchekani. Babu zetu walichemsha balaa halafu sisi wa leo ndio tumekua bure bora hata wao, maana elimu tunayo lakini tunaagiza sindano hadi leo.

Vipi hujalala, nimeona kwenye mitandao RC Makonda anafanya yake mkoa wote wa Dar. Sijui kama itakua usanii, lakini kama kweli anamaanisha aisei hapo namuunga mikono maana mtanyooka, waliouza ardhi kiholela itakula kwao. Tatizo nyie ni wale wale, mfupa uliomshinda fisi, Magu anashtukiza balaa lakini kila akirudi anakuta uovu ule ule hamjabadilika.

Japo naye naona kama atakua anapotoshwa na washauri, kapiga bodi ya mapato chini na sababu alizotoa hazina mashiko. Bodi ni non-executive na huwapigi chini kwa makosa ya kuweka hela kwa benki.
Awamu hii dereva kichaa na hajui aendako...unapiga chini kwa kukurupuka ni hasara kwani watakubwaga mahakamani..nia ni njema lkn utekelezaji wake ndiko tatizo liliko.
Huyu mkonda ndo balaa kabisa ni ujiko na siasa mbovu na wala haendi mbali.
Nchi hii imeoza kama ingekuwa nguo hata kushona haifai.
Namuunga mkono jpm kuwa watu wapige kazi, nashukuru sasa watz wameanza kuchangamkia kazi
 
game over

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
4,666
Likes
6,695
Points
280
Age
49
game over

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
4,666 6,695 280
Sasa ulibeep ukitegemea sitakupigia, Afrika imekaa ovyo na hatuchekani. Babu zetu walichemsha balaa halafu sisi wa leo ndio tumekua bure bora hata wao, maana elimu tunayo lakini tunaagiza sindano hadi leo.

Vipi hujalala, nimeona kwenye mitandao RC Makonda anafanya yake mkoa wote wa Dar. Sijui kama itakua usanii, lakini kama kweli anamaanisha aisei hapo namuunga mikono maana mtanyooka, waliouza ardhi kiholela itakula kwao. Tatizo nyie ni wale wale, mfupa uliomshinda fisi, Magu anashtukiza balaa lakini kila akirudi anakuta uovu ule ule hamjabadilika.

Japo naye naona kama atakua anapotoshwa na washauri, kapiga bodi ya mapato chini na sababu alizotoa hazina mashiko. Bodi ni non-executive na huwapigi chini kwa makosa ya kuweka hela kwa benki.
Sijalala, namalizia bia ya mwisho ili niwahi ibada kesho.
Naona ushachukua uraia wa bongo, safi sana mtazamia tu.
Waambie na wenzio wanaolala fasted huko kilifi, waje huku. We have food.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,728
Likes
11,165
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,728 11,165 280
Sijalala, namalizia bia ya mwisho ili niwahi ibada kesho.
Naona ushachukua uraia wa bongo, safi sana mtazamia tu.
Waambie na wenzio wanaolala fasted huko kilifi, waje huku. We have food.
Hehehe wewe umelewa, kumbuka kunywa maji kwa wingi, halafu kojoa kabla hujalala la sivyo asubuhi utakurupuka huku JF na kauli za ovyo kumbe hangover.....usiku mwema.
 
game over

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
4,666
Likes
6,695
Points
280
Age
49
game over

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
4,666 6,695 280
Hehehe wewe umelewa, kumbuka kunywa maji kwa wingi, halafu kojoa kabla hujalala la sivyo asubuhi utakurupuka huku JF na kauli za ovyo kumbe hangover.....usiku mwema.
 
Forum statistics

Threads 1,273,878
Members 490,535
Posts 30,494,804