Baada ya utetezi huo, Watoto wako wansoma shule gani?
Napingana na wewe kwa asilimia 100! kwa maana hata ufanye nini huwezi kuifanya Tanzania ikawa "an english speaking country" na ukisema Serikali ifanye hivyo kwamba lugha ya kufundishia iwe kiingereza tangu mwanzo bado hutaondoa matabaka na ndio utayazidisha na naandika hivi kwa sababu ndio nimekamilisha utafiti wangu wa matumizi ya lugha na nimetembelea nchi karibu zote za kiafrika zinazotumia huo mfumo unaoupendekeza na matokeo yake sio mazuri!
Hivi unajua kwamba nchi kama Uganda ni asilimia 8% tu ya wananchi wake wanaweza kutumia kiingereza, Kenya ni hapo hapo pamoja na kuwa na mfumo huo unaoupendekeza wewe?
Na kati ya hao asilimia 8% karibu wote ni watoto wa "elite" ambao wazazi wao wanatumia kiingereza nyumbani tangu watoto kwa hiyo kupendekeza huo mfumo sio suluhisho bali kusogeza tatizo mbele kwani ndio kutaleta matabaka amayo hayajawahi kutokea Tanzania, NAANDIKA HIVI KWA HISIA KUBWA SANA KWA MAANA NI KITU AMBACHO NIMEKIFANYIA UTAFITI KUANZIA NIGERIA MPAKA LESOTHO! Kwa hiyo nasema chonde chonde serikali wasiende huko na kama ndio sera ya CHADEMA basi nimeshapoteza matumaini nao!
Watoto wa waziri wa elimu Kawambwa wanasoma mombasa, international school,wa Rage wanasoma usa na australia!WENJE U RE RIGHT 100% tuamue moja
Tukubali tukatae tanzania kwa sasa kuna matabaka ya elimu,hata vitabu vya kiada vinatofautiana mkoa kwa mkoa!KIKWETE UMESHA AHIDI MARA NGAPI KUANZISHA SCHOOL FEES REGULATORY AGENCY?acha usanii tekeleza hiloaisee kazi ipo!wenje upo sawa.ss km ndo hivi watoto wa maskin ndo basi tena
napingana na wewe kwa asilimia 100! Kwa maana hata ufanye nini huwezi kuifanya tanzania ikawa "an english speaking country" na ukisema serikali ifanye hivyo kwamba lugha ya kufundishia iwe kiingereza tangu mwanzo bado hutaondoa matabaka na ndio utayazidisha na naandika hivi kwa sababu ndio nimekamilisha utafiti wangu wa matumizi ya lugha na nimetembelea nchi karibu zote za kiafrika zinazotumia huo mfumo unaoupendekeza na matokeo yake sio mazuri!
Hivi unajua kwamba nchi kama uganda ni asilimia 8% tu ya wananchi wake wanaweza kutumia kiingereza, kenya ni hapo hapo pamoja na kuwa na mfumo huo unaoupendekeza wewe?
Na kati ya hao asilimia 8% karibu wote ni watoto wa "elite" ambao wazazi wao wanatumia kiingereza nyumbani tangu watoto kwa hiyo kupendekeza huo mfumo sio suluhisho bali kusogeza tatizo mbele kwani ndio kutaleta matabaka amayo hayajawahi kutokea tanzania, naandika hivi kwa hisia kubwa sana kwa maana ni kitu ambacho nimekifanyia utafiti kuanzia nigeria mpaka lesotho! kwa hiyo nasema chonde chonde serikali wasiende huko na kama ndio sera ya chadema basi nimeshapoteza matumaini nao!
Ktk mchango wa Mh. Wenje kwa hotuba ya bajeti ya wizara ya Elimu, amewaeleza wabunge na mawaziri wote waache UNAFIKI wa kuweka sera ya elimu inayotaja wazi kwamba lugha ya kufundishia kwa shule za msingi ni Kiswahili, huku wao wabunge na mawaziri wakiwapeleka watoto wao shule zinazotumia Kiingereza.
Binafsi naomba niseme kwamba ni aibu mawaziri, wabunge, wakurugenzi, Rais, makatibu wakuu n.k hawaamini kwamba Kiswahili ni lugha inayowafaa watoto wao. Pamoja na imani hiyo wengi wanakuwa wanafiki kwa kusema lugha hii itumike ktk shule zetu zote. Tena wengine wanakwenda mbali na kutaka itumike hadi vyuo vikuu.
Nahisi wanasiasa wanataka kiingereza kibaki kuwa ni privilege yao na familia.
Tuache unafiki kama alivyosema Mh. Wenje, Tuseme ukweli kwamba wote tunahitaji kiingereza kuliko Kiswahili. Shule zetu zirudishe Kiingereza ili hata mtoto wa maskini aweze kutumia Kiingereza.
Mbona unanihukumu bila kunielewa? wapi nimesema au nimelinganisha uwezo wa kuongea kiingereza kati ya mwanafunzi wa Kenya na wa Tanzania?muongo mkubwa wewe, mwanafunzi wa sekondari wa kenya ana uwezo mkubwa wa kujieleza kwa kiingereza kuliko wa kibongo.
Baada ya utetezi huo, Watoto wako wansoma shule gani?
Napingana na wewe kwa asilimia 100! kwa maana hata ufanye nini huwezi kuifanya Tanzania ikawa "an english speaking country" na ukisema Serikali ifanye hivyo kwamba lugha ya kufundishia iwe kiingereza tangu mwanzo bado hutaondoa matabaka na ndio utayazidisha na naandika hivi kwa sababu ndio nimekamilisha utafiti wangu wa matumizi ya lugha na nimetembelea nchi karibu zote za kiafrika zinazotumia huo mfumo unaoupendekeza na matokeo yake sio mazuri!
Hivi unajua kwamba nchi kama Uganda ni asilimia 8% tu ya wananchi wake wanaweza kutumia kiingereza, Kenya ni hapo hapo pamoja na kuwa na mfumo huo unaoupendekeza wewe?
Na kati ya hao asilimia 8% karibu wote ni watoto wa "elite" ambao wazazi wao wanatumia kiingereza nyumbani tangu watoto kwa hiyo kupendekeza huo mfumo sio suluhisho bali kusogeza tatizo mbele kwani ndio kutaleta matabaka amayo hayajawahi kutokea Tanzania, NAANDIKA HIVI KWA HISIA KUBWA SANA KWA MAANA NI KITU AMBACHO NIMEKIFANYIA UTAFITI KUANZIA NIGERIA MPAKA LESOTHO! Kwa hiyo nasema chonde chonde serikali wasiende huko na kama ndio sera ya CHADEMA basi nimeshapoteza matumaini nao!
Mbona sikuelewi unatoa tu kashfa, sasa unachopinga ni nini? manake nimeandika vingi, sema haswa unachopinga ili nikujibu!Mkuu acha kudanganya uma na hilo neno utafiti? Kwa taarifa yako utafiti wenye kuleta majibu ya kweli ni kwenye sayansi na sayansi ya jamii. Hizi tafiti zenu za masomo ya MBA, MPA, MA (Political Science, etc), LLM na PhDs zake ni uzushi tu! Tafiti za kutoa majibu ya uhakika ni tafiti za Magonjwa, mambo ya ki engineer na tafiti ambazo moja kwa moja unaingia maabara, haziko biased hata kidogo. Acha kabisa kuja na tafiti zako za kizushi! Tumefanya tafiti nyingi sana za namna ya kwako na zinaishia kwa makaratasi tu! Kwanza data zako zinaonekana ni za uongo sana na unaonekana uko biased hata kabla hujaanza hiyo tafiti yako. Nipe link kwenye hiyo paper yako na tuone ume publish wapi na pia tukukosoe, usije na neno tafiti ukazani ndo umemaliiiiiza! Kwa taarifa yako kwa ulimwengu huu, hata enzi za Yesu na Mtume S.A W (P B U H) matabaka yalikuwepo tu! Hata tukifundisha kwa Kiswahili matabaka hayataisha!
...Kwa hiyo nasema chonde chonde serikali wasiende huko na kama ndio sera ya CHADEMA basi nimeshapoteza matumaini nao!
Yaan kwa hili tu ndiyo upoteze matumain na chadema? Mim kama intelectual naamini sana ktk utafiti-maana ndiyo pekee ya kupata ukweli, lakin wakati mwingine utafiti unakuwa "very convenient" kulingana na matakwa ya mtafiti au mfadhili wa utafiti.
Mfano: kuna mtu anafanya utafiti ili atimize vigezo vya kumaliza masomo (thesis/dessertation)-wanafunzi wengi kote duniani wamekuwa wakishawishika kuongeza "sukari" ili matokeo ya utafiti yawe "matamu". Pia kuna wafadhili wa utafiti-nao wanakuwa na indirect influence ktk matokeo ya utafiti. Ni vizuri wakati mwingine kuelezea kwa undani kuhusiana na utafiti wako-mfano kwanini ulifanya utafiti, nani wafadhili, n.k.
Mwisho, hata nchi zile ambazo hapo awali zilitilia mkazo sana lugha yao (e.g. China, South Korea), leo zimekigeukia kiingereza. Ktk nchi hizi, kingereza kinaabudiwa na kuhusudiwa. Kuna mashindano makali ya kiingereza CCTV internation-wao wanasema kujua kuingereza ndiyo kupata ticket ya kwenda ulimwenguni kutafuta maisha (our resources).
Miaka takribani 2, kuna Mkorea kusini alipata average score ya 8.0 ktk IELTS (highest score being 9.0). Hii ilikuwa ni breaking news ktk national tv maana hapakuwahi kutokea mkorea akafanya vizuri kiasi hicho ktk mitihani ya kingereza inayosimamiwa na british council. Kwa kifup, graduate wa korea kusin hawez kupata kaz kirahis kama hajui kiingereza. Sasa korea kusini ni nchi iliyoendelea, sembuse tz? Tunashangaa viongozi wetu wanapenda safari za kuhudhuria mikutano nje ya nchi lakini wakifika huko wanakuwa bubu?
Napingana na wewe kwa asilimia 100! kwa maana hata ufanye nini huwezi kuifanya Tanzania ikawa "an english speaking country" na ukisema Serikali ifanye hivyo kwamba lugha ya kufundishia iwe kiingereza tangu mwanzo bado hutaondoa matabaka na ndio utayazidisha na naandika hivi kwa sababu ndio nimekamilisha utafiti wangu wa matumizi ya lugha na nimetembelea nchi karibu zote za kiafrika zinazotumia huo mfumo unaoupendekeza na matokeo yake sio mazuri!
Hivi unajua kwamba nchi kama Uganda ni asilimia 8% tu ya wananchi wake wanaweza kutumia kiingereza, Kenya ni hapo hapo pamoja na kuwa na mfumo huo unaoupendekeza wewe?
Na kati ya hao asilimia 8% karibu wote ni watoto wa "elite" ambao wazazi wao wanatumia kiingereza nyumbani tangu watoto kwa hiyo kupendekeza huo mfumo sio suluhisho bali kusogeza tatizo mbele kwani ndio kutaleta matabaka amayo hayajawahi kutokea Tanzania, NAANDIKA HIVI KWA HISIA KUBWA SANA KWA MAANA NI KITU AMBACHO NIMEKIFANYIA UTAFITI KUANZIA NIGERIA MPAKA LESOTHO! Kwa hiyo nasema chonde chonde serikali wasiende huko na kama ndio sera ya CHADEMA basi nimeshapoteza matumaini nao!
Swali zuri, Kiswahili kimeweza kukubalika sio kwa sababu za kisiasa bali za kihistoria, kiswahili kimekuwa kikitumika Tanzania au sehemu ambayo leo tunaiita Tz kwa miaka mingi sana zaidi ya 1000, na kuna sababu nyingi za kusambaa kwake nyingine zikiwa nzuri nyingine zikiwa mbaya na sababu kubwa ni biashara kati ya pwani na tz interior lakini sababu kubwa kabisa ni kwamba kiswahili ni KIBANTU kwa hiyo ni rahisi sana kwa mzaramu au msukuma au mngoni kukitumia, na ndio sababu wamasai (SIO WABANTU)wengi kiswahili kinawapa shida!
Sasa basi leo hii kutaka kupindua Kiswahili na kuleta kiingereza ni kujidanganya kwani kamwe hakitaweza kukubalika na kupenya jinsi kiswahili kilivyopenya na sababu ni kwamba kiingereza ni lugha nyingine kabisa, na ndio maana nikakupa mifano ya nchi za kiafrika ambazo zimefanya hayo (sio kwa idhini yao) mnayosema na matokeo yake sio mazuri, siandiki kutoka HEWANI, kinachotokea ni hivi kwa sababu kiingereza ni lugha nyingine tofauti inabaki kuwa ya elite tu na ndio maana ukienda Kenya watu wa kawaida wanaongea kitu wanachokiita "sheng" (mchanganyiko wakila kitu) Nigeria, ghana & co. wanatumia Pidgin English, umeshajiuliza kwa nini?
Sasa kama sisi tumefanikiwa ni kwa nini unataka turudi nyuma badala ya kwenda mbele? Tuna Lugha tayari ambayo ina nafasi yake Duniani, inafundishika, iko "standardised" na ndio maana unaweza kusema fulani anaongea kiswahili kibaya na hiyo sio kazi ndogo kufika hapo!
Mwisho umaskini wetu hausabishwi hata tone na Kiswahili bali mambo mengine kabisa!
Mbona sikuelewi unatoa tu kashfa, sasa unachopinga ni nini? manake nimeandika vingi, sema haswa unachopinga ili nikujibu!
Swali zuri, Kiswahili kimeweza kukubalika sio kwa sababu za kisiasa bali za kihistoria, kiswahili kimekuwa kikitumika Tanzania au sehemu ambayo leo tunaiita Tz kwa miaka mingi sana zaidi ya 1000, na kuna sababu nyingi za kusambaa kwake nyingine zikiwa nzuri nyingine zikiwa mbaya na sababu kubwa ni biashara kati ya pwani na tz interior lakini sababu kubwa kabisa ni kwamba kiswahili ni KIBANTU kwa hiyo ni rahisi sana kwa mzaramu au msukuma au mngoni kukitumia, na ndio sababu wamasai (SIO WABANTU)wengi kiswahili kinawapa shida!
Sasa basi leo hii kutaka kupindua Kiswahili na kuleta kiingereza ni kujidanganya kwani kamwe hakitaweza kukubalika na kupenya jinsi kiswahili kilivyopenya na sababu ni kwamba kiingereza ni lugha nyingine kabisa, na ndio maana nikakupa mifano ya nchi za kiafrika ambazo zimefanya hayo (sio kwa idhini yao) mnayosema na matokeo yake sio mazuri, siandiki kutoka HEWANI, kinachotokea ni hivi kwa sababu kiingereza ni lugha nyingine tofauti inabaki kuwa ya elite tu na ndio maana ukienda Kenya watu wa kawaida wanaongea kitu wanachokiita "sheng" (mchanganyiko wakila kitu) Nigeria, ghana & co. wanatumia Pidgin English, umeshajiuliza kwa nini?
Sasa kama sisi tumefanikiwa ni kwa nini unataka turudi nyuma badala ya kwenda mbele? Tuna Lugha tayari ambayo ina nafasi yake Duniani, inafundishika, iko "standardised" na ndio maana unaweza kusema fulani anaongea kiswahili kibaya na hiyo sio kazi ndogo kufika hapo!
Mwisho umaskini wetu hausabishwi hata tone na Kiswahili bali mambo mengine kabisa!
Ktk mchango wa Mh. Wenje kwa hotuba ya bajeti ya wizara ya Elimu, amewaeleza wabunge na mawaziri wote waache UNAFIKI wa kuweka sera ya elimu inayotaja wazi kwamba lugha ya kufundishia kwa shule za msingi ni Kiswahili, huku wao wabunge na mawaziri wakiwapeleka watoto wao shule zinazotumia Kiingereza.
Binafsi naomba niseme kwamba ni aibu mawaziri, wabunge, wakurugenzi, Rais, makatibu wakuu n.k hawaamini kwamba Kiswahili ni lugha inayowafaa watoto wao. Pamoja na imani hiyo wengi wanakuwa wanafiki kwa kusema lugha hii itumike ktk shule zetu zote. Tena wengine wanakwenda mbali na kutaka itumike hadi vyuo vikuu.
Nahisi wanasiasa wanataka kiingereza kibaki kuwa ni privilege yao na familia.
Tuache unafiki kama alivyosema Mh. Wenje, Tuseme ukweli kwamba wote tunahitaji kiingereza kuliko Kiswahili. Shule zetu zirudishe Kiingereza ili hata mtoto wa maskini aweze kutumia Kiingereza.
Hilo halipingiki hata kidogo.
Mimi mwenyewe wala mume wangu hakuna mwenye hivyo vyeo ulivyovitaja lakini tunapeleka watoto wetu shule zinazofundisha kiingereza. hapa namaanisha kuwa, watu wengi kwa sasa ambao tuna hata angalau uwezo wa kukopa, tunakopa ili tupeleke watoto wetu huko.
nadhani sasa wakati umefika tukubali yaishe, kiswahili ni lugha yetu, na tunaipenda sana, lakini ibaki katika matumizi ya mawasiliano ya kawaida, isiwe kwa matumizi ya shule. shuleni libaki tu somo la kiswahili lakini siyo kufundisha jogfaria.