Kuhusu subjects combination A-level

Kuhusu subjects combination A-level

ihagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
250
Reaction score
174
Salam wote...kuna mdogo wangu anaomba ushauri wa kusoma comb gan kati ya hge na cbg kwa course za chuo na upatikanaji wa ajira...pia nngependwa kusaidiwa shule gani za private nzur kwa comb hizo mkoa wowote
 
weka matokeo kabla hujapewa ushauri

Ila kwa kukukumbusha ni kuwa kuna uwezekano CBG isiwepo tena
 
weka matokeo kabla hujapewa ushauri

Ila kwa kukukumbusha ni kuwa kuna uwezekano CBG isiwepo tena
Hizo kelele zilishakuwepo sana na mpaka sasa hakuna mtaala unaelekeza kuwa Combination hiyo na nyinginezo zitatolewa.

Nirudi kwenye mada. Muulize dogo yeye angependa kuwa nani hapo baadae? Atakapokujibu utajua huyu atasomea Combination gani na ikamfaa.

Pili, tukiweka factors za ufaulu wake baada ya Kidato cha Sita kando na kuchukulia kuwa kafaulu vizuri tu na kwa kiwango cha kurudhisha, endapo atasoma CBG uwezekano wa kupata kozi nzuri na yenye uangalau kidogo kwenye mambo ya ajira ni mkubwa.
 
Kapata c yoote...uwezekano wa kutokuwepo cbg n upi mkuu
 
Kapata c yoote...uwezekano wa kutokuwepo cbg n upi mkuu
mpeleke CBG kuna uwanda mpana wa kusoma vitu ving mf;

1)engineering kama vile municipal and industrial services engineering hii wanaitoa chuo cha ardhi

2)kozi za afya kama vile md kwa baadhi ya vyuo kama vile imtu, ajuco ,kiu

3)pharmacy kwa baadhi ya vyuo

4)nursing, clinical officer

5)mambo ya ardhi kama vile land management and valuation (LMV)

6)petroleum chem

7)pia anaweza kuwa geologists

nk vipo vingi kwa kifupi kuliko aliyesoma HGE
 
Nashukuru hance...napokea ushaur zaid wakuu
 
Napokea ushauri wa MTU kuitetea HGE jpo mi mwwnyewe niliipitia hge
 
aruke ruke sana lkn naomba asidondokee hapaa PCB
 
Back
Top Bottom