jikuTech
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 228
- 290
Software development ni jumla ya Juzi nyingi sana ukiachana na zile ndani ya Programming knowledge, Mtu anahitaji pia Tehama kiujumla na Mambo yake mengi na hata uwezo wa kusikiliza tatizo na kuliandika kabla ya kuanza kuandika code
Tembelea kiungo hiki kuingia kwenye mafundisho ya IT-TEHAMA yanayo endelea Jifunze Information Technology (IT-TEHAMA)
Tembelea kiungo hiki kuingia kwenye mafundisho ya IT-TEHAMA yanayo endelea Jifunze Information Technology (IT-TEHAMA)