Kuhusu Shibuda CHADEMA inastahili pongezi

Kuhusu Shibuda CHADEMA inastahili pongezi

hawana ubavu wa kumfukuza wala kumjibu yule sio diwani wa arusha

SIONI TOFAUTI KATI YAKO NA SHIBUDA, Labda kwa vile wewe umeweza kuficha identity yako lakini kwa andiko hili inaonekana hamna tofauti kabisaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
huyo ni moja kati ya watu waliovua gamba wakavaa gwanda sasa hao mnaoendelea kuwapokea siku wakicharuka kwa pamoja sijui hata nini kitazaliwa.
Rai yangu !
Kama kweli kuna mpango wa kumvuna mzee EL. ni bora mpango huo ufe.
 
Shibuda vuvuzela tu kama mwimbaji taarabu. Bwana Mipasho 100%
 
Huyu alishanichosha long time sitaki hata kumsikia..
Sijui bado anatafuta nini Chadema :spy:
 
Kwa hiyo na CCM ni chama makini kwa kuwapuuza kina SITTA, MWAKYEMBE na recently Lowasa na slogan yake ya Youth time bomb?

Hao uliowataja CCM haiwapuuzi bali wao ndio wana blackmail chama chao,na CCM imekua oga kwasabau ya matendo yao kwa lugha nyepesi ni kwamba Amri inapalaza kutokana na maovu yao,wanaogopa wakimchokonoa lowasa atatoboa siri ya kile alichokifia,sawasawa na sita na mwankyembe. Upo hapo mkuu Sangarara
 
Last edited by a moderator:
Maskini Shibuda wa watu!
CCM walimtumia wakamtupa ka Condom iliyotumika.
Sasa the peoplez wakimtoa baru atakimbilia wapi tena?

Atakuwa Mgombea Binafsi... Tutakuwa na wagombea binafsi kama 100 hivi uchaguzi ujao kwa kila jimbo.. Maana kwa nafasi ya Rais sikubaliani na mgombea Binafsi...
 
mnalalamika nn cdm msi mnawakaribisha wenyewe? Na bd huyo ni mmoja2, wakiwa wengi
 
Ameshaona mwaka 2015 hawezi kusimamishwa kugombea ubunge. sasa anatafuta mlango wa kutokea.
 
Cha Msingi ni kwamba, CHADEMA haiwezi kumfukuza huyu Jamaa uanachama kwa sababu itakuwa haijawatendea haki wananchi wa Jimbo lake, hivyo ushauri wangu ni kwamba.
1. Waendelee Kumpuuza.
2. Azuiwe kushiriki vikao vyote vya Chama kuanzia ngazi ya chini kabisa, kama ni ni shina au tawi au chini zaidi.
3. Azuiwe kushiriki kwenye vikao vyote vya wabunge wa CHADEMA
4. Mbunge mmoja, hasa wa viti maalumu apewe jukumu la kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake kikamilifu Bungeni, sababu nimeangalia hata ushiriki wake Bungeni nimekuta hajawahi kuuliza swali hata moja.
5. Wananchi wa Jimbo lake wapewe taarifa za maamuzi haya na viongozi wa juu wa Chama ili asije akajitokeza mtu na kusema ameonewa.

Ama sivyo Shibuda kwa CHADEMA ni kama sumu TAMU.
 
kweli shibuda ni mgonjwa sana. kichwa kibovu
 
Toka apite na kuwa mbunge wa Maswa Mashariki Shibuda alionekana wazi kutaka mgogoro na viongozi wa CHADEMA, kwa busara na hekima walizonazo viongozi wachadema hawakujiingiza katika mtego huu dhaifu wa SHIBUDA.

Kauli alizokuwa akitoa dhidi ya CHADEMA, viongozi wa CHADEMA walichukulia kama ni kauli toka kwa mwendawazimu ambazo hazipaswi kujibiwa na sasa SHIBUDA amenasa katika mtego dhaifu aliojitegea mwenyewe, Na sasa kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa SHIBUDA si mwana CHADEMA.

Hivyo halali yake kufukuzwa, watanzani nao wanachukulia maneno ya shibuda kama hoja za mwendawazimu ambazo si busara na hekima kuzijadili.

viongozi wa CHADEMA wanastahili pongezi kwa jinsi walivyokabiliana naye mpaka ananasa kirahisi katika mtego wake, japo kuwa MPENDAZOE alishatahadharisha hili hata kabla ya uchaguzi wa mwaka 2010 akapuuzwa.


Mkuu hakuna haja ya kumfukuza Shibuda, Shibuda atarudisha kadi mwenyewe muda ukifika. Mkakati uliopo ni kati ya CCM na Shibuda ni kuwa jamaa afukuzwe halafu afanye kama akina Hamad Rashid na Kafulila. CDM isikubali mtego huu wa kuingiza mgogoro ndani ya CDM ili 2015 CCM itumie migogoro hii kama mtaji wa kuonesha CDM haijaiva kisiasa.

Shibuda ni wa kumpuuza na kuendelea kumpuuza na kama viongozi wa CDM watahojiwa waseme wazi kuwa 'Wao si wasemaji wa Shibuda waende wakamuulize mwenyewe ana maanisha nini?' mjadala utaisha na CCM watamuona Shibuda kama ni GALASA lisiloweza kubadili mchezo wa karata na KUACHANA nae ka kuendelea kum-pump.

Busara walizotumia viongozi wa CDM mpaka sasa kuhusu huyu MAGALE ndizo zinakipaisha chama kwa sasa, kikubwa tu ni kuhakikisha kuwa Shibuda hana uongozi ndani ya CDM basi.
 
hawana ubavu wa kumfukuza wala kumjibu yule sio diwani wa arusha

Si suala la ubavu wa kumfukuza, anaweza kufukuzika dk yoyote ile. CDM inaendeshwa ki scientific, waswahili wanasema ukichamba sana mwishowe utashika mavi, hivyo yeye aendelee kuchamba maana ameisha anza kuyashika mavi. his days are numbered.
 
Back
Top Bottom