Kuhusu shambulio la Fr. Kitima

You’re fake catholic
Catholic hawezi kuwa pro CCM
Hawezi kuamini chama cha kiuaji
You have to be pro life
Unasahau Catholic ndio wametoa marais wote wakristu Tanzania

Unataka vita yq dini ? Unaiweza?
 
Utawala umefitinika
 
Kitima ndo kanisa?mpumbavu toeni Udini wenu, Kibao hakua na dini? Waisalamu walidai kwamba uislamu ndo umevamiwa,
Tuambie Kibao alikuwa na wadhifa gani huko uislamuni.
 
Yeah Tena hapa haitakuwa ukatoliki bali ukristo ni mbaya sn hii
Sijui waliwaza nn kabla ya kufanya haya!

Mi sio rc ila kati ya wakristo ambao hawayumbishwi Wala huwakuti tuition 🤣Kwa manabii huko ni RC
Yaani nasema mfano mapadre walihimiza waumini wao kufunga barabarani zote Tanzania nzima serikali itaweza kuwaondoa?

Serikali ikubali ifanye hayo mabadiliko na ikae na vyama vyote wakubaliane tume ya uchaguzi itapatikana vipi mambo yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…