Upo sahihi. Kuna hata kwenye vitabu vya Dini inasemekana kwamba, utawala dhalimu unapokaribia kufikia kwenye point ya mwisho kabisa huwa wanapofushwa macho, wanazibwa masikio yao na hivyo na hatimaye huweza kutesa mpaka kuua hata watu wake wa karibu. Inafika wakati hata mtoto wake anakuwa hamwamini. Kwa ujumla linakuwa kama gari lililopoteza mwelekeo. Litagonga kila kitu kilicho mbele yake.Okay, isipokuwa tambua tu kwamba
CCM imepoteza kabisa mvuto!
CCM imepoteza kabisa ushawishi!
Njia pekee kwa CCM kuendelea kuwa hai na kuendelea kushika madaraka katika Utawala wa nchi hii ni kwa kupitia kwenye kufanya Siasa za Propaganda za Vitisho Kama hizi za kuteka watu, kuua Watu, kuwashambulia na kuwapoteza wale Watu wenye ushawishi wanaokipinga Chama hicho. Nje ya Kuendesha Propaganda za Vitisho, kamwe CCM haiwezi kubaki salama na Wala haiwezi kuendelea kuwa hai, LAZIMA itakufa!
Utawala wowote ule uliofitinika na ambao upo mwishoni unakaribia kuanguka na kufa, huwa ni kawaida kabisa kutokea matukio mabaya Kama haya. Watawala huwa wanakuwa wameshikwa na kiwewe, wanaingiwa na hofu kubwa, kila Mtu mwenye Fikra mbadala na anayewakosoa au kuwapinga wanamchukulia kuwa ni Mhaini anayetaka kuwapindua.
Hali Kama hii pia iliwahi kumkumba aliyekuwa Rais wa Zaire (DRC) wakati huo akiwa madarakani, Hali ambayo ilimfanya amteke hata Mkuu wake wa Majeshi General Mahele na kisha kumuua kikatili Sana Kama nguruwe pori, Mobutu alimshuku Jenerali huyo wa Jeshi kwamba alikuwa anamsaliti na kuwaunga mkono Wapinzani wake wa kisiasa.
Kwa Hali halisi ya kisiasa na HAKI za binadamu iliyopo hivi Sasa hapa Tanzania, tutarajie kushuhudia kwa wingi sana Watu wengi sana wakikumbana na matukio mabaya kama haya ya kushambuliwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuawa kikatili.
Tusio Waislamu tulilaani mauaji ya Mzee Kibao wakati wewe ulifurahia mauaji hayo. Lakini haiondoi kwamba Kibao hakuwa na Uongozi BAKWATA, ila Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu. Shambulizi moja ni personal, jingine ni institutional.Kitima ndo kanisa?mpumbavu toeni Udini wenu, Kibao hakua na dini? Waisalamu walidai kwamba uislamu ndo umevamiwa,
Hakuna mwana CC kupata huduma kwenye vituo vya RC3. Kanisa litumie vyombo vyake kuhamasisha jamii kupinga udhalimu huu.
We ni mbugila kinoma, kwahiyo mfano Mama Samia akishambuliwa anakuwa anakuwa aliyeumizwa ni Samia na sio Mwenyekiti wa CCM?Kitima ndo kanisa?mpumbavu toeni Udini wenu, Kibao hakua na dini? Waisalamu walidai kwamba uislamu ndo umevamiwa,
Udhalimu hauishii hapo, hata wewe utakufuata tu.Alishambuliwa kama Kitima personally au kashambuliwa kwa niamba ya kanisa? Acheni kuleta Udini katika hili suala tutapoteza lengo watanzania wangapi wameua na wana dini zao, mkileta Udini katika suala la no reform no Election tutapoteza wote kwasabb kila mtanZania ana dini yake.
Wewe ushajua kashambuliwa Kwa sababu Gani?Alishambuliwa kama Kitima personally au kashambuliwa kwa niamba ya kanisa?
You’re fake catholicKwa sisi wakatoliki…. Tunapata dawa
Ingewapa mfano wangekuelewaWaandae watu kiroho tangu wadogo, waweke nguvu huko,wao nguvu wameweka kwenye siasa na kunyonya masikini
Kweli kabisa, "pro life " ni msingi mmojawapo wa Kanisa Katoliki. Mkatoliki wa kweli ni lazima athamini maisha ya kwake ya wengine!You have to be pro life
Kati ya CCM na Kanisa Katoliki ni taasisi ipi kati ya hizo mbili inayonyonya maskini wa Tanzania?Waandae watu kiroho tangu wadogo, waweke nguvu huko,wao nguvu wameweka kwenye siasa na kunyonya masikini
Ok sawa tuseme kashambuliwa yeye kama yeye na siyo kwasababu ya Dini yake wala Kanisa lake.Alishambuliwa kama Kitima personally au kashambuliwa kwa niamba ya kanisa? Acheni kuleta Udini katika hili suala tutapoteza lengo watanzania wangapi wameua na wana dini zao, mkileta Udini katika suala la no reform no Election tutapoteza wote kwasabb kila mtanZania ana dini yake.
Halafu watu wanasema Tanzania kuna amani!Mapadri waanze kutembea na mabaunsa kama Manabii na Mitume wa kilokole!
Serikali siyo watu?Wajikite kuhubiri injili Ili jamii iwe na maadili na kuepuka dhambi,badala ya kushupaa na serikali
Yeah Tena hapa haitakuwa ukatoliki bali ukristo ni mbaya sn hiiSafari hii mmeyakanyaga, kanisa halitaacha hili lipite hivihivi
Wajikite kuhubiri injili Ili jamii iwe na maadili na kuepuka dhambi...
Nchi Ina amani walinzi wa nini tena!?muanze kuwapata ulinzi
una hakika una akili?Nchi Ina amani walinzi wa nini tena!?
Bakwata ni ccm mkuu kamanda kova sasa hivi ni kiongozi wa bakwata.Bakwata inawahusu hii