Hutofautiani na hao wasijua uhusuano wa siasa na dini katika kujenga jamii yenye upendo kudumisha amaniWajikite kuhubiri injili Ili jamii iwe na maadili na kuepuka dhambi,badala ya kushupaa na serikali
Sio issue ya Dini Marehemu Mzee Ally Kibao alikuwa ni Muisilamu Deusdith Soka na wenzake walikuwa Wakristo nk.Umeliweka sawa sio kwamba kashambuliwa kwasbb ni mkatoliki tena kiongozi, ambieni hao waache udini.
Mambo ya Giza ni ya MTU, mambo ya Nuru ni ya KANISA .Kuna padri aliratibu mauaji ya albino vipi napo tulihusishe kanisa au ni yeye mwenyewe tu?
Siasa kazi yake ni kustawisha kiwiliwili,dini ni kustawisha roho/nafsiHutofautiani na hao wasijua uhusuano wa siasa na dini katika kujenga jamii yenye upendo kudumisha amani
Nyamaza. Aliyokuwa anayasema aliyasema Kwa cheo chake.Alishambuliwa kama Kitima personally au kashambuliwa kwa niamba ya kanisa? Acheni kuleta Udini katika hili suala tutapoteza lengo watanzania wangapi wameua na wana dini zao, mkileta Udini katika suala la no reform no Election tutapoteza wote kwasabb kila mtanZania ana dini yake.
So huyu dogo ndo kapotea!?Sio issue ya Dini Marehemu Mzee Ally Kibao alikuwa ni Muisilamu Deusdith Soka na wenzake walikuwa Wakristo nk.
View attachment 3321754View attachment 3321755
Wao wanakemea dhambi bila kujali nani ametenda dhambi hizo. Kazi ya kukemea maovu katika jamii ni wajibu namba moja wa Kanisa.Wajikite kuhubiri injili Ili jamii iwe na maadili na kuepuka dhambi,badala ya kushupaa na serikali
Hawakukemea escrow,walibeba fedha kwenye sandalusi,hawakemei makasisi kulawiti watotoWao wanakemea dhambi bila kujali nani ametenda dhambi hizo. Kazi ya kukemea maovu katika jamii ni wajibu namba moja wa Kanisa.
Unataka Mahubiri gani? Kwa hiyo kutenda dhambi ni siasa. Kutenda haki ni siasa?Wajikite kuhubiri injili Ili jamii iwe na maadili na kuepuka dhambi,badala ya kushupaa na serikali
Walikemea labda ulikuwa hujazaliwa. Na msiwafundishe maneno ya kusema,wizi wa kura ni sawa na wizi mwingine tu ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu.Hawakukemea escrow,walibeba fedha kwenye sandalusi,hawakemei makasisi kulawiti watoto
Waandae watu kiroho tangu wadogo, waweke nguvu huko,wao nguvu wameweka kwenye siasa na kunyonya masikiniUnataka Mahubiri gani? Kwa hiyo kutenda dhambi ni siasa. Kutenda haki ni siasa?
Kiwiliwili hakiwezi kuishi pasipo uhai wa kirohoSiasa kazi yake ni kustawisha kiwiliwili,dini ni kustawisha roho/nafsi
Unawezaje kujitofautisha wewe na kazi yako?Alishambuliwa kama Kitima personally au kashambuliwa kwa niamba ya kanisa? Acheni kuleta Udini katika hili suala tutapoteza lengo watanzania wangapi wameua na wana dini zao, mkileta Udini katika suala la no reform no Election tutapoteza wote kwasabb kila mtanZania ana dini yake.
Chakula cha mwili si chakula cha roho, serikali kazi yake ni kutoa huduma za afya, elimu, miundombinu ya uchukuzi,Linda amani,suala la mtu kuwa muadilifu siyo la serikali, sababu linataka moyoni, ndiyo maana serikali ikaweka vyombo vya dola,polis,makachero,jela...uadilifu wa mtu hujengwa msikitini, kanisani etcKiwiliwili hakiwezi kuishi pasipo uhai wa kiroho
Washauri mashehe nao wachukue hatua Kali dhidi ya udhalimuAlishambuliwa kama Kitima personally au kashambuliwa kwa niamba ya kanisa? Acheni kuleta Udini katika hili suala tutapoteza lengo watanzania wangapi wameua na wana dini zao, mkileta Udini katika suala la no reform no Election tutapoteza wote kwasabb kila mtanZania ana dini yake.
Watapangiwa tu cha kusema,wakitaka wabadili usajili wa taasisi zao ziwe taasisi za harakati tofautiWalikemea labda ulikuwa hujazaliwa. Na msiwafundishe maneno ya kusema,wizi wa kura ni sawa na wizi mwingine tu ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu.
Uovu wa waamori u karibu sana kutimia na hakika Mungu Yesu anaenda kushusha ghadhabu yake kwa kile kibibi blender mwenye kuelewa na aelewe.1. Kanisa litafakari kwa kina na kuchukua hatua kali zaidi dhidi udhalimu. Hapa tatizo si kushambuliwa kwa Fr. Kitima na wengineo bali UDHALIMU ulioota na unaoendelea kuota mizizi kwa kasi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
2. Kanisa liwaunganishe Watanzania wote kupinga udhalimu katika Nchi hii kabla hali haijawa mbaya zaidi. Tusipoziba ufa tutajenga ukuta. Hakuna aliye salama kwa sasa. Ni uovu mtupu.
3. Kanisa litumie vyombo vyake kuhamasisha jamii kupinga udhalimu huu.
1. Kanisa litafakari kwa kina na kuchukua hatua kali zaidi dhidi udhalimu. Hapa tatizo si kushambuliwa kwa Fr. Kitima na wengineo bali UDHALIMU ulioota na unaoendelea kuota mizizi kwa kasi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
2. Kanisa liwaunganishe Watanzania wote kupinga udhalimu katika Nchi hii kabla hali haijawa mbaya zaidi. Tusipoziba ufa tutajenga ukuta. Hakuna aliye salama kwa sasa. Ni uovu mtupu.
3. Kanisa litumie vyombo vyake kuhamasisha jamii kupinga udhalimu huu.
😂😂😂🎯
Pia liepushe hizi interactions zisizo na maana hasa kwenye makazi ya viongozi muhimu wa dini yetu
Sasa saa nne usiku bar tena
Hatari sana