Kuhusu shahawa

Kuhusu shahawa

Kufuatana na maelezo yake anamwaga nje ili kujua zinachukua mda gani kukauka na zipi ni bora. Hata hivyi rugha aliotumia ni kali, angetumia neno MANII

anapoteza protein ya muhim sana
ushaonaha watu wanakula mayai mabichi???

sasa kuyapata hayo ni safi sana same content tena ya moto hayana vijidudu yanatibu kifua na mafua
 
anapoteza protein ya muhim sana
ushaonaha watu wanakula mayai mabichi???

sasa kuyapata hayo ni safi sana same content tena ya moto hayana vijidudu yanatibu kifua na mafua
masai dada kuna kaujumbe pm
 
Last edited by a moderator:
anapoteza protein ya muhim sana
ushaonaha watu wanakula mayai mabichi???

sasa kuyapata hayo ni safi sana same content tena ya moto hayana vijidudu yanatibu kifua na mafua

Hahaha
 
mtoa mada anaonekana kama anataka kuzikusanya hivi maana kauliza zinakaa muda gani kabla hazija kauka pili zipi ni nzuri zinafaa,mhh i smell samting fishy hapa..
 
kwahiyo unazipekua kabla hazijakuingia kwanza ili uzijue kama mbegu zakoni mbegu bora ? Yelewiii
 
Kuganda haraka kwa shahawa kunatokana na ulaji wa ndimu uliopitiliza....by Dr KikulachoChako
 
Spermatozoa..huweza kaa masaa 72 zkiwa hai endapo ztakuwa ndani ya uzazi wa mwanamke ..na huchukua lisaa li 1 kuwa liquidfy(hali ya maj maj kutokea katka hali ya mnato. ili kujua spermatozoa ni zima na zenye ubora huwa 2na angalia njia mbili..ya kwanza ni macroscopicaly na microscopocaly
nikianza na macroscopicaly(kwa macho) huwa 2na angalia v2 vitatu cha kwanza ni VISCOSITY(mlendemko) ni lazma ziweze vutika kwa urefu usio zid CM 2..ili kujua kama zko normal..ya pili ni rangi normal spermatozoa ina rangi ya MILKISH LIKE ikiwa na rangi nyngne inakuwa ni indcator ya ugonjwa...ya 3 ni liquidfication hii hutokea baada ya 1hour after kumwaga...lazma zbadlike form kutokea mlendemko nakuwa maji maji ya kawaida...hzo ni njia za 1 xakujua kama spermatozoa zko kwenye ubora wake.

Njia ya 2 mi microscopicaly hii hufanyka maabara ambapo 2 na angalia v2 v3...cha kwanza ni spermatozoa concentration hii ni njia yaku zihesabu sperm zko ngap..kwa kawauda kwa mwanaume kamili anatakiwa katka kila mshndo 1 amwage spermtzoa 60 milion-120milion..ya pili ni VITALITY hii ni method yaku hesab sperm ngap zipo hai na ngap zme kufa...hapa 2naweza pia angalia ABNORMALT apernce of sperm ili mwanaume kuweza ku mpa mwanamke mimba nilazma sperm zake ziwe na kicha,mwil,na mki. kinacho fanya wengi wawe wagumba ni.kwamba unakuta m2 sperm zake hazna mkia 4 swming...au kichwa kikubwa kulko mwl..au mkia bila kichwa...au zngine bi GIANTSM.

dah nmechka andka tamalzia badae...
 
Huwa zinachukua muda kukauka......ni vyema ukatumia dryer.......
Na ili kujua ipi yenye mbegu.......ni lazima uzionje......mara nyingi zenye mbegu zina utomvu.........
Karibu sana.......

Dr Preta.......

Kumbe ni ukweli zinakuwaga na utomvu
 
Nilikuwa naulizia hivi mtu anapomaliza kudo na shahawa akamwagia nje huwa zinachukua Muda gani kukauka? Na Je shahawa bora zenye mbegu utazijuaje!? Asante sana nahitaj majibu niweze kupata elimu zaidi

huwezi jua ubora wa shahawa kwa kuziangalia.

zinachukua mda mfupi kukauka kutegemea na wingi wake.
 
Huwa zinachukua muda kukauka......ni vyema ukatumia dryer.......
Na ili kujua ipi yenye mbegu.......ni lazima uzionje......mara nyingi zenye mbegu zina utomvu.........
Karibu sana.......

Dr Preta.......
 
Back
Top Bottom