Kuhusu shahawa

Kuhusu shahawa

vidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
363
Reaction score
130
Nilikuwa naulizia, hivi mtu anapomaliza ku-do na Shahawa akamwagia nje huwa zinachukua Muda gani kukauka? Na Je Shahawa bora zenye mbegu utazijuaje!? Asante sana, nahitaji majibu niweze kupata elimu zaidi.
 
Huwa zinachukua muda kukauka......ni vyema ukatumia dryer.......
Na ili kujua ipi yenye mbegu.......ni lazima uzionje......mara nyingi zenye mbegu zina utomvu.........
Karibu sana.......

Dr Preta.......

Hapo kwenye utomvu nieleweshe
 
Umenchekesha sana dr.
 
Huwa zinachukua muda kukauka......ni vyema ukatumia dryer.......
Na ili kujua ipi yenye mbegu.......ni lazima uzionje......mara nyingi zenye mbegu zina utomvu.........
Karibu sana.......

Dr Preta.......

we Dr hatari sana
 
Munawaza ngono tu ndio maana hatuendelei hii nchi upumbavu mtupu,sasa km unataka kujua hicho kitu si umwage juu ta sakafu halafu uangalie muda wa kukauka .kama.mganga wako amekutuma shahawa kavu ili uwe tajiri hutofaninikwa
 
Critical Thinker ktk deep thinking ya shahawa...!
 
Munawaza ngono tu ndio maana hatuendelei hii nchi upumbavu mtupu,sasa km unataka kujua hicho kitu si umwage juu ta sakafu halafu uangalie muda wa kukauka .kama.mganga wako amekutuma shahawa kavu ili uwe tajiri hutofaninikwa

Anaweza fanikiwa kama ataenda kumwaga kwenye kiganja cha mganga wake
 
Huwa zinachukua muda kukauka......ni vyema ukatumia dryer.......
Na ili kujua ipi yenye mbegu.......ni lazima uzionje......mara nyingi zenye mbegu zina utomvu.........
Karibu sana.......

Dr Preta.......

Duh! Kweli wewe.ni noma
 
Huwa zinachukua muda kukauka......ni vyema ukatumia dryer.......
Na ili kujua ipi yenye mbegu.......ni lazima uzionje......mara nyingi zenye mbegu zina utomvu.........
Karibu sana.......

Dr Preta.......

hahahaha yaani nimechek mpaka nikajishitukia .. Mhhh hili jibu akiendelea atakuwa na lake hahahaha
 
Kweli, hapo kwenye utomvu....

Haha tunaweza kumchkulia kirahisi Preta kutokana na namna alivyowasilisha jibu lake ila kuna ka ukweli flani!

Hata kwa mwanamke anapokuwa kwenye ashki akijipima ule ute ute chini kule anaweza kujua aki do tu lazima mimba ishike! Ni kutokana na mazingira na ule ute unakuwa unavutika-vutika(ndio kama utomvu sasa!)

Pia manii za kiume hazitakiwi ziwe nyepesi sana, zinatakiwa ziwe nzito na zenye kuvutika ndio zitaweza kutungisha mimba!

Sent from JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Huwa zinachukua muda kukauka......ni vyema ukatumia dryer.......
Na ili kujua ipi yenye mbegu.......ni lazima uzionje......mara nyingi zenye mbegu zina utomvu.........
Karibu sana.......

Dr Preta.......

Hapo kwenye utomvu nieleweshe
mkuu kwa hiyo hayo maelezo mengine umeyaelewa na kuyakubali ila hilo la utomvu ndo hujaelewa?
 
Huwa zinachukua muda kukauka......ni vyema ukatumia dryer.......
Na ili kujua ipi yenye mbegu.......ni lazima uzionje......mara nyingi zenye mbegu zina utomvu.........
Karibu sana.......

Dr Preta.......

Mbavu zangu Dr. Preta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom