Kuhusu selection za Nacte

Kuhusu selection za Nacte

Mpambalachuma

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
362
Reaction score
44
Jaman, mbona mim profile yangu Haina changes alaf mbaya Zaid vyuo nilivyochagua vyote Tayar vimetoa majina na Jina langu silioni ktk website za vyuo, pia ktk profile yangu sikuwah kukuta rechoice kama wengine wanavyopata, na mbaya Zaid kunawatu wanadai wamekuwa selected. Naombeni maoni na mawazo yenu tafadhar
 
ila mimi nina rafiki zangu wamechaguliwa mzumbe na wameapply kupitia Nacte
 
Jaman, mbona mim profile yangu Haina changes alaf mbaya Zaid vyuo nilivyochagua vyote Tayar vimetoa majina na Jina langu silioni ktk website za vyuo, pia ktk profile yangu sikuwah kukuta rechoice kama wengine wanavyopata, na mbaya Zaid kunawatu wanadai wamekuwa selected. Naombeni maoni na mawazo yenu tafadhar

wale wa NACTE update wanaandika kwenye email zenu, jaribu kucheki
 
Binafsi profile haina changes zozote but nimeingia kwenye website ya vyuo nilivyoomba nikafanikiwa kukuta jina langu T.I.A
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom