Kuhusu saseni media company

Kuhusu saseni media company

Saseni Media

New Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
4
Reaction score
2
Saseni Media Company ni kampuni ya Kitanzania iliyojijengea taswira njema kabisa kwa wateja wake kwa kutoa huduma bora kabisa na kwa wakati.

Tunatoa huduma zifuatazo kwa ubora wa hali ya juu na kwa wakati.


  • Film Production, Distribution and Cinema,
  • TV and Radio Content Development and Production,
  • Video Coverage and Photography
  • Music Entertainment,
  • Talent Management,
  • Advertising and Promotional Marketing,
  • Strategic Communication,
  • Performance Arts
  • Graphics Designing and Prints, , as well as
  • Research, Consultancy and Training in Media, Communication, Culture and Arts in Tanzania and East Africa.


Katika kuhakikisha kuwa haya yote yanafanyika katika weledi na ubora wa hali ya juu, kampuni yetu imejipanga kutoa huduma zote hizi kwa bei nafuu na kwa thamani ya fedha yako. Kamwe hautohisi kutoa pasipostahili.

Katika kuendelea na shughuli zetu za miradi mbalimbali, sasa tupo katika kutengeneza moja kati ya filamu zetu yenye ubora na upekee kabisa ikiwa na maudhui yanayogusa watu wa matabaka yote.
Hii itakuwa ni filamu ndefu "Feature length film" ya pili baada ya filamu ya Crush kuchukua Tuzo za ZIFF mwaka 2013 katika tuzo za sanaa Afrika Mashariki na kati kule Zanzibar.

Pia tumeshafanikiwa kutengeneza filamu kadhaa fupi kama vile muuza nguo na riziki yake iliyopendekezwa katika tuzo za filamu Afrika zinazofanyika Arusha na kutekeleza miradi kadhaa kwa ufanisi kama Vile SJMC Talents Day 2013 na 2014 ambayo itaanza kuoneshwa katika Television hivi karibuni.
Endelea kuwasiliana nasi kupitia namba zetu, emails pamoja na kutembelea sasenimedia.blogspot.com kwaajili ya updates za miradi mbalimbali ambayo tunatekeleza.

Tafadhali Wasiliana nasi sasa kupitia namba zetu au email kama unahotaji huduma yoyote iliyowekwa katika orodha hapo juu.

Cell phone: +255-652 282905, +255-683750679, +255-752750679

E-Mail: Saseniproductions gmail.com
Facebook: Saseni Media
Twitter: Saseni Media
YouTube: SaseniProductions
Instagram: Saseni Media

Karibuni Sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom