Samsung zote kwa picha ziko vizuri labda zile ndogo min. Yaani Camera na Display ya picha kwenye screen. Ndio maana ukivunja display na touch zake utachimba sana mfukoni.
Nimetumia J3, Grand Prime, S4, na S6.
Samsung zote ukaaji wake wa chaji ni matumizi hazikai sana na chaji kama ni mtu wa youtube sana kwasababu ni cm iko vizuri user friendly features nyingi labda uwe wa incoming calls tu.