Note that only those who have paid at least 50% of the necessary fees will be allowed to register. Registration of first year students will be closed formally on Friday, 24th October, 2014.
Swali langu ni moja tu mimi naeongejea HESLB haya malipo nayafanya mwenyewe au?
Mtakaopata mkopo majina yenu hata yatangazwe, chuo mnayakuta so kama una 100% hutalipa kabisa ada ila kama una 90% it means 10% ya ada unalipa wewe so utapaswa ulipe atleast 50% ya hiyo 10% unayopaswa kulipa ndo uwe registered.
accomodation huwa mnapangiwa sema ziko limited yaani ni bahati kupata pia meaning kuna wengi huwa wanakosa,kuna hostel chuo na Mpakani karibu na Mwenge d_9
accomodation huwa mnapangiwa sema ziko limited yaani ni bahati kupata pia meaning kuna wengi huwa wanakosa,kuna hostel chuo na Mpakani karibu na Mwenge d_9