fatma sekkaya
Member
- Sep 8, 2018
- 25
- 3
Habar zenu wadau kwa wale mliobahatika kuomba kaz za TPA vp hawajatoa majina ya interview bado???
Mmmh kweli????Mkuu kausha hadi watoe tokeo la CPA
Dogo unashangaa miatatu wakati post ya customer services mmeomba watu 1079 nayaona hapa majina na idadi yenu.kuna hatari ya post moja ukakutana na watu miatatu
Acha utani ww kukikuwa na nafasi za customer service TPA ??Dogo unashangaa miatatu wakati post ya customer services mmeomba watu 1079 nayaona hapa majina na idadi yenu.
Dogo unashangaa miatatu wakati post ya customer services mmeomba watu 1079 nayaona hapa majina na idadi yenu.
Acha utani ww kukikuwa na nafasi za customer service TPA ??
Acha utani ww kukikuwa na nafasi za customer service TPA ??
Juzi si wametangaza post moja imeombwa na watu elfu 2kuna hatari ya post moja ukakutana na watu miatatu
Majina yako wapiDogo unashangaa miatatu wakati post ya customer services mmeomba watu 1079 nayaona hapa majina na idadi yenu.
Juzi si wametangaza post moja imeombwa na watu elfu 2
Yameshatoka hapa MATOKEO YA CPA November 2018 Out - JamiiForumsMkuu kausha hadi watoe tokeo la CPA
mimi sinaga utani na madogo na ninachokueleza ndo icho...madogo mnapambana sana sasa usilale somaAcha utani ww kukikuwa na nafasi za customer service TPA ??
NIPO HAPA UTUMISHI KATIKA COMPUTER NAYAONA MAJINA YENUMajina yako wapi
Mkuu tuma screen shotmimi sinaga utani na madogo na ninachokueleza ndo icho...madogo mnapambana sana sasa usilale soma
NIPO HAPA UTUMISHI KATIKA COMPUTER NAYAONA MAJINA YENU
Mkuu tuma screen shot
Maana yake ni chaiAsitume wala nn... Abaki nayo huko huko