MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,208
- 2,591
Kwenye mkoa ninaoishi nimeona utitiri wa gari zenye plate number za "SSH 25 30"
Nimekuwa na maswali kadhaa ninayojiuliza kuhusu usajili huu wa magari
1.Je magari yote haya yamelipiwa private plate number za "SSH 25 30"
2.Kama yamesajiliwa kwa usajili huo ni kipi kinachoyatofautisha maana tumezoea usajili wa number binafsi hata kama ni ya mtu mmoja huwa kuna namna inayatofautisha let's say MR BINGO akisajili gari zake jina binafsi huwa tunaona kuna " Bingo 1"’,"'Bingo 2" ,"Bingo 3" n.k
3.kama hayajasajiliwa kwenye mfumo wa serikali hatuoni uhatari wa magari haya kutumika kwenye uhalifu na uvunjifu wa sheria barabarani kwa sababu yanakuwa na false identity
Naombeni majibu wataalamu wa mambo